Home » »

BEI YA KIINGILIO KWENYE UZINDUZI WA JOHN LISU HADHARANI.


Waandaaji wa uzinduzi wa albamu ya “Uko Hapa” ya mwimbaji nguli wa muziki wa Injili Tanzania, John Lisu unaotarajia kufanyika Oktoba 5, mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, kampuni ya
Msama Promotions wametangaza viingilio rasmi.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama viingilio hivyo ni shilingi 5000 kwa viti vya kawaida na watoto na shilingi 10,000 kwa viti maalum.
Msama ametoa wito kwa waamini mbalimbali nchini kujitokeza katika uzinduzi huo utakaokuwa wa aina yake katika tasnia ya muziki wa Injili nchini.
Msama amesema hivi sasa waimbaji watakaoshiriki katika uzinduzi huo wako kwenye mazoezi makali kwa ajili ya kujiandaa na uzinduzi hu
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog