Magazeti ya leo Alhamisi September 25 2014 P . Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
WANAWAKE IRINGA WAKUMBUKWA NI KATIKA SEMINA KUBWA YA NENO LA MUNGU ITAKAYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA HIGHLAND KUANZIA TARE 25 HADI 29. ...
IRINGA MOTO KUWAKA KESHO KATIKA UKUMBI WA HIGHLAND HALL KWENYE UZINDUZI WA ALBAMU YA POKEA SIFA BWANA YA YUSUFU NGALOWOKA. hapa akiwa amepozi na kipenzi chake  yaani mama watoto yusuphu ngaloka family Kwa mara ya kwanza wakazi wa iringa siku ya kesho wanatarajia kupata burudani ya aina yake kwenye uzinduzi wa mwimbaji mahili wa mziki wa injili na mwandaaji yusuphu ngalowoka utakao fanyika katika ukumbi wa highland hall uliopo manispaa ya mungu   uzinduzi huo ambao umeratibiwa na mwenyekiti wa maandalizi bi veronica james meneja wa hospitali ya aghakhani iliyopo manispaa...
MWANAMKE Jane Bhoke (27) amefariki dunia nyumbani kwa hawara yake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki alisema kifo hicho kilitokea juzi saa 12 jioni eneo la Zingiziwa Chanika wilayani Ilala. Kamanda Nzuki alisema mtoa taarifa, Mohamed Kambi (44) mkazi eneo hilo alieleza kwamba alikutana na marehemu Septemba 12 mwaka huu katika kilabu cha pombe za kienyeji huko Chanika. Kambi alisema baada ya kukubaliana walianza kuishi kama mke na mume na huku akibainisha kwamba walifanya mapenzi mara mbili. “Septemba 15 saa 11 jioni mtoa taarifa na marehemu...
         SOMA VICHWA VYA MAGAZETI HAPA YA LEO SEPT 20 . Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog