Home » »

MWANAJESHI MMOJA AFA MWINGINE AJERUHIWA KTK AJALI YA MAPOROMOKO YA MAWE MLIMA KILIMANJARO

Jana majira ya saa kumi alfajiri kumetokea ajali ya maporomoko ya mawe katika eneo la juu la Mlima Kilimanjaro la Hans Meyer na kusababisha kifo kwa mwanafunzi Malata Thomas kutoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli .

Aidha, mwanafunzi mwingine Matenga S.J alivunjika mguu wake na anaendelea na matibabu katika hospitali ya KCMC mjini Moshi.

Wanajeshi hawa walikuwa pamoja na wenzao 265 walikuwa katika mafunzo yao ya kawaida ya ukakamavu katika Mlima Kilimanjaro.
 
 
 
 
 
 

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUJINYONGA NA KHANGA




Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Olen Gadau (26) mkazi wa kijiji cha Igoma mkoani Iringa alikutwa ndani ya jiko akiwa amefariki dunia mara baada ya kujinyonga kwa kutumia kipande cha khanga.
 
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog