KUTOKA MAGAZETINI LEO KURASA ZA MWANZO.
.
Kama kawaida millardayo.com inakupa
vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline
mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila
kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
...
Posted by Unknown
Posted on 8:10 AM
with No comments

TAARIFA KAMILI YA AJALI YA BASI KUGONGANA NA LORI NA KUUA WATU 17 DODOMA LEO NA KUJERUHI 56
MAREHEMU NA MAJERUHI WAKIWA KATIKA ENEO LA AJALI BAADA YA AJALI KUTOKEA
Watu
17 wamekufa papo hapo na wengine 56 kujeruhiwa vibaya baada ya basi
walilokuwa wakisafiria kutoka Mpwapwa kwenda Jijini Dar-es-Salaam
kugongana uso kwa uso na Lori wilayani Kongwa Mkoani Dodoma leo asubuhi.
Ajali hiyo ambayo imeua madereva wote wawili, imetokea majira ya saa
mbili asubuhi katika eneo la Pandambili wilayani Kongwa mita chache
kutoka mahali ambako ilitokea ajali iliyosababisha kifo cha aliyekuwa...
Posted by Unknown
Posted on 7:21 AM
with No comments

BREAKING NEWZZZZZZZZZZZZ
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BAHATI BUKUKU APATA AJALI KIBAIGWA USIKU WA KUAMKIA LEO WAKATI AKIENDA KAHAMA KIHUDUMA KWA MUJIBU WA KATIBU MWENEZI WA CHAMUITA STELA JOEL MAOMBI YAKO YANAHITAJIKA AMEUMIA MGONGO.
...
Posted by Unknown
Posted on 3:31 PM
with No comments

BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (FORM SIX) 2014 YALIYOTANGAZWA HII LEO
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21,
yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu
katika madaraja ya I- III.
Jumla
ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya
mtihani kidato cha 6 wamefaulu.
Wasichana waliofaulu ni 12,080 na
wavulana waliofaulu ni 26,825.Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
...