AL AHLY YAPANGWA KUNDI LA ‘KIFO’ KOMBE LA SHRIKISHO, KUNA ETOILE NA SEWE SPORT YA IVORY COAST Home » Unlabelled » AL AHLY YAPANGWA KUNDI LA ‘KIFO’ KOMBE LA SHRIKISHO, KUNA ETOILE NA SEWE SPORT YA IVORY COAST Na Princess Asia, Dar es Salaam VIGOGO wa Misri, Al Ahly wamepangwa katika Kundi B la Kombe la Shirikisho Afrika mwaka 2014 pamoja na Sewe Sport ya Ivory Coast, Etoile du Sahel ya Tunisia na Nkana FC ya Zambia. Katika droo iliyopangwa leo makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), wababe wa Cameroon, Coton Sport wametupwa Kundi A pamoja na ASEC Mimosas ya Ivory Coast, AS...
REAL MADRID 'ILIVYOIHARIBU SURA' BAYERN MUNICH JANA ALLIANZ ARENA Home » Unlabelled » REAL MADRID 'ILIVYOIHARIBU SURA' BAYERN MUNICH JANA ALLIANZ ARENA +25 Shughuli imekamilika: Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia ushindi wao wa mabao 4-0 jana dhidi ya Bayern Munich katika Nusu Fainali ya pili ya Ligi Mabingwa Ulaya Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani. Real imetinga fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-0 baada ya awali kushinda 1-0 Santiago Bernabeu. +25 All sewn up: Cristiano Ronaldo fires home a free-kick to complete Real Madrid's victory over Bayern +25 Ecstatic:...
ASKARI POLISI WAWILI WAUWAWA NA MAJAMBAZI KATIKA MAJIBIZANO YA RISASI HUKO TA Baadhi ya askari Polisi wakiutoa mwili wa askari Polisi kwenye Wodi namba moja aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi huko katika Tarafa ya Ussoke wilayani Urambo askari huyo aliyefahamika kwa namba F.5179 PC JUMANNE,walipigwa risasi wakiwa na askari mwenzake ambaye pia alifariki papo hapo namba G.3388 PC SHABAN. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP SUZAN KAGANDA akizungumza.....
BINTI ASHUSHIWA KIPIGO NA MAMA YAKE BAADA YA KUWEKA PICHA ZA UCHI MTANDAONI Binti alipost picha yake ambayo imeelezwa kuwa ni ya nusu uchi kwenye page yake ya facebook na kama kawaida ya internet ikasambaa ghafla. Mama wa binti huyo baada ya kusikia hizo habari hakuweza kujizuia na kumpa kichapo kikali kwa kuchapa na mkanda binti yake huyo mwenye umri wa miaka 12. Baada ya video hii kusambaa mama huyo raia wa Trinidad and Tobago amesema hajilaumu kumchapa...             ASKARI POLISI WAWILI WAUWAWA NA MAJAMBAZI KATIKA MAJIBIZANO YA RISASI HUKO...
ASKOFU DR SOLLO AMSHAURI RAIS KIKWETE KULIVUNJA BUNGE LA KATIBA, AWASHANGAA UKAWA KWA VURUGU Rais Dr Jakaya Kikwete Viuongozi  wa UKAWA    Askofu Dr Boaz Sollo akiwa katika moja kati ya mikutano  yake ya  kuliombea Taifa amani  UMOJA  wa  katiba ya  wananchi (UKAWA)  wazidi  kukaliwa kooni baada yaaskofu  wa  kanisa la Overcomers Power Centre Iringa Dr  Boaz Sollo kupinga vikali uamuzi  wa UKAWA kutoka bungeni na kwenda kwa wananchi kabla ya kuifanya kazi  waliyotumwa  bungeni kama  wajumbe...
ANNA DAT KUTOKA MOSHI NA YERONIMO MWALO KUTOKA DAR WAITIKISA IRINGA KATIKA SEMINA ILIYOANDALIWA NA HUDUMA YA OVERCOMERS POWER CENTER MJINI IRINGA.      Anna dat kutoka moshi akimsifu mungu katika semina hiyo.  yelonimo mwalo mume wa mwimbaji wa nyimbo za injli stera joel akimsifu mungu katika semina hiyo. wanakwaya ya agape wakimsindikiza bwana mwalo wakati akimtukuza bwana.katika kutokomeza nguvu za giza uchawi na laana opareshesheni iliyoongozawa na askofu wa huduma ya overcomers powercenter ya mjini iringa ambayo imedumu kwa siku thelamini wiki hii kumeshuhudiwa...
TAHADHARI KUTOKA JESHI LA POLISI KATIKA KUSHEREHEKEA PASAKA Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa maisha na mali zao. Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha kwamba hakuna vitendo vyovyote vya uhalifu vitakavyojitokeza na endapo vitajitokeza viweze...
   Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze    Bagamoyo mkoani Pwani kupitia chama cha mapinduzi CCM, ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo na kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.   Matokeo ya uchaguzi huo yanaonyesha Ridhiwani ameongoza akifuatiwa na CHADEMA ,CUF,NRA na ASP. Matokeo hayo yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na  Msimamizi wa uchaguzi huo  Bw.Samwel Salianga ambapo amesema...
JOYOUS CELEBRATION YAVUNJA REKODI AFRIKA YA KUSINI Kundi la Joyous Celebration la nchini Afrika ya kusini limevunja rekodi ya kuwa kwaya ya kwanza nchini Afrika ya kusini kushika nafasi ya kwanza kwenye mtandao wa kuuza muziki wa iTune kupitia album yake mpya ya 18 iitwayo 'One Purpose' ambayo imetoka rasmi jana kupitia mtandao huo. Album hiyo ya Joyous ilianza kupigiwa debe kwenye mtandao wao wa Facebook mapema wiki mbili zilizopita kwa watu kulipia kabla ya siku yenyewe rasmi kutoka, ambapo iTune kwakushirikiana na kundi hilo waliweka shindano kwa mashabiki wa kundi hilo kueleza...
NYOTA WA MUZIKI WA INJILI NCHINI KENYA AFARIKI DUNIA Mwimbaji wa muziki wa injili nchini Kenya aliyetamba na wimbo wa 'Kiburi ni chanini' aitwaye Peter Kahura Kaberere amefariki dunia baada ya kupigwa shoti ya umeme akiwa kwenye eneo lake la kusafisha magari siku ya jumapili. Mwimbaji huyo ambaye pia alikuwa meneja wa kampuni ya Mo Sound Limited ambayo pia inasimamia tuzo maarufu za nchini humo za Groove, alipatwa na umauti wakati akisafisha gari lake tayari kuelekea kanisani eneo la Lower Kabete lakini kukawa na hitailafu ya umeme kwenye mashine ya kuoshea gari  ambayo ilisababisha...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog