...
Posted by Unknown
Posted on 2:13 PM
with No comments

AJALI YAUWA WAWILI NZEGA TABORA
Ajali
iliyohusisha magari mawili imesababisha waliokuwa kwenye gari dogo
kupoteza maisha maeneo ya Nzega, inaasemekana chanzo cha ajali ni speed
ya gari dogo na mvua kubwa iliyokuwa inanyesha eneo hilo.
...
Posted by Unknown
Posted on 1:51 PM
with No comments

NEEMA TENA KWA WAKAZI WA NYANDA ZA JUU KUSINI.
SIKU ZINAHESABIKA TAMASHA LA KRISMASI MBEYA, IRINGA NA RUVUMA
Mara kwa mara kwenye jiji la Dar es Salaam, yamekuwa yakiandaliwa matamasha mbalimbali ikiwemo la Krismasi na Pasaka chini ya kampuni ya Msama Promotions. Lakini kwa wakati huu kilio cha wananchi kimesikika, hasa baada ya kampuni hii kuamua kupeleka tamasha...
MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA TUNAJIVUNIA AMANI NA UMOJA
Posted by Unknown
Posted on 6:21 AM
with No comments
Posted by Unknown
Posted on 5:47 PM
with No comments

HI NI HATARI KWA KIPINDI HIKI CHA MVUA MTOTO AOPOLEWA KWENYE DIMBWI LA MAJI MACHAFU.
Na Mathias Canal, Mufindi
Mtoto mwenye umri ya miaka 5 afariki dunia kwenye dimbwi la maji machafu karibu na mtaa wa stendi ya mabasi Mafinga, wilayani Mufindi mkoani Iringa.
Mtoto huyo alipotea nyumbani takribani siku 3 zimepita ambapo mama mzazi alitoa taarifa jeshi la polisi liweze kumsaidia lakini juhudi hizo haikuzaa matunda ambapo hii leo amekutwa kwenye dimbwi la maji
...
Posted by Unknown
Posted on 8:24 AM
with No comments
HII NI HATARI HATA KAMA NI UMASIKINI????????? DUH!!!!BINTI ALIYEONGOZA MATOKEO YA DARASA LA SABA AOZESHWA KWA MAHARI YA KILO 2 ZA SUKARI.
Pamoja
na Serikali kuendelea kupiga vita wazazi kuwaoza mabinti zao wakiwa bado wadogo
lakini bado kuna baadhi ya makabila hapa nchini wameendeleza utamaduni huo kwa
kuwaoza mabinti zao sababu kubwa ikitajwa kuwa ni tamaa za kutaka
kujilimbikizia mali.
Lakini kwa msichana huyu wazazi wake wameonekana kutoijali hata
ile mali waliyopewa kwani wameweza kumwozesha binti yao wa kike kwa mahari ya
kilo mbili za sukari toka kwa mfugaji wa kabila la kimasai.
Gazeti...
HII SI YAKUKOSA SASA KWA WAKAZI WA MANISPAA YA IRINGA
Posted by Unknown
Posted on 8:16 AM
with No comments

HATIMAYE KWAYA YA ARISE YA PSA KUTOKA SHULE YA WASICHANA YA IRINGA INATARAJIA KUZINDUA ALBAM YAO INAYO KWENDA KWA JINA LA HESHIMA NA UTUKUFU....GOSPEL ZA IRINGA ITAKULETEA MOJA KWA MOJA MATUKIO YA UZINDUZI ...
Posted by Unknown
Posted on 3:32 PM
with No comments

MWIMBAJI ROSE MHANDO ASIMULIA ALIVYOTEKWA NA KULAZIMISHWA PENZI KWA BASTOLA
.
Nyota wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando.
Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo,Rose Mhando (pichani)amefungukia eneo fupi la maisha yake magumu ambapo alisema amewahi kutekwa kwa bastola na mwanaume mmoja, akampeleka msituni ambako alimlazimisha kuwa naye kimapenzi lakini akadunda
Rose alieleza kwa machungu kwamba, tukio hilo lilimkuta hivi karibuni mjini Dodoma ambako ndiko kwenye makazi yake ya kudumu.Ilikuwa ni katika mahojiano...
AUAWA KWA KUKATWA NA KITU CHENYE NCHA KALI NA KUKATWA KIGANJA CHA MKONO WA KULIA
Posted by Unknown
Posted on 2:57 PM
with No comments

NA DENIS NYALI
IRINGA
Mtu mmoja amelipotiwa kufaliki dunia mkoani iringa huku wengine
wakishikiliwa najeshi la polisi kwakukutwa na nyara za serikili
Akithibitisha kutokea kwa matukio hayo
kamanda wa polisi mkoani iringa ACP ramadhani mungi amesema kuwa tukio
la kwanza limetokea katika kijiji cha lyamuko kilichipo kata ya boma la ng’ombe
wilaya ya kilolo mkoani iringa.
ambapo amemtaja mtu mmoja anaye
fahamika kwa jina la pakton mgwilanga (80) mkulima mkazi wa kijiji cha lyamuko
ameuwawa kwakukatwa na kitu chenye ncha kali kwenye paji lake la uso na kukatwa
kiganja cha mkono...
Posted by Unknown
Posted on 8:21 AM
with No comments

MAGAZETI YA TANZANIA LEO ALHAMIS
Imewekwa na
mzee wa matukiodaima habari bila uoga
HOPE SERVICE STATION KITUO BORA CHA KUJAZA MAFUTA UWAPO MJINI IRINGA WANAKULETEA VIDOKEZO MAGAZETINI LEO
...
MMOJA AFARIKI DUNIA 28 WAJERUHIWA KWA AJALI MKOANI IRINGA
Posted by Unknown
Posted on 8:19 AM
with No comments
AJALI MBAYA YA ANOTHER G YAJERUHI 28, MAFINGA
MTU mmoja amefariki dunia na
wengine 28 kuheruhiwa vibaya na kulazwa katika hospitali ya Mafinga, mjini
Iringa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutangata kupita daladala na
kugongana na fuso, katika eneo la Kisolanza, Wilayani Mufindi.
Kamanda wa jeshi la Polisi
Mkoani Iringa, Ramadhani Mungi alisema tukio hilo limetokea leo, majira ya saa
nne asubuhi,...
SAKATA LA ESROW KUENDELEA TENA LEO
Posted by Unknown
Posted on 8:45 AM
with No comments

Tunataka Tukutumie Habari zetu mara tu Tunapoziweka Mtandaoni,Bonyeza Hapa
MBUNGE
wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika
Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo,
ameomba kuchangia akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika wa sakata hilo. Mbali
na kuvaa hivyo, Lugola pia aliomba kama kanuni zinaruhusu achangie tena
akiwa amevaa nguo za chama chake cha CCM ili kuonyesha kuwa CCM haiungi
mkono vitendo viovu japo alikataliwa na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe.
Zungu....
BON MWAITEGE AJA NA KITU KIPYA CHA DAKIKA 45 SOMA MWANANGU AKISHIRIKIANA NA BAHATI BUKUKU
Posted by Unknown
Posted on 8:37 AM
with No comments

Mwanzoni mwa wiki hili mwanamziki wa nyimbo za injili bon mwaitege amesikika redioni kuwa anatarajia kuja na ujio mpya baada ya kutamba na albamu ya mama ni mama sasa amekuja na wimbo ambao unajulikana kama {soma mwanangu} akiwa ameshirikiana na bahati bukuku,
akizungumza na gospel za iringa na habari bon amesema kuwa wimbo huo ambao umelenga zaidi kwa upande wa elimu ameuandaa ili watanzania hususa wanafunzi watambue umhimu wa elimu katika nyakati za sasa,
aidha bon amesema kuwa video ya wimbo huo inatarajia kukamilika ndani ya wiki mbili zijazo ikiwa na dk 45 hivyo wanainchi wajiandae...
HATIMAYE MWIMBAJI NA MWALIMU WA KWAYA YA LULU GEOGY NJABILI AZIKWA LEO JIJINI MBEYA
Posted by Unknown
Posted on 9:43 PM
with No comments

Imechapwa na :
Gospel Kitaa
Saa
16:24
In:
George Bonge
,
Tanzia
Marehemu George 'Bonge' Njabili
Kwa sasa msiba upo nyumbani kwa marehemu Tabata Bima karibu na Shule ya
St Mary's ambapo watu mbali mbali wanaweza kufika kutoa pole kwa familia
ya Marehemu.
Ratiba ya kuuaga mwili itaanza kesho saa 4 kamili aubuhi nyumbani kwa
marehemu hadi hapo itakapo ishia kisha msafara utaanza kuondoka kuelekea
katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Mtoni ambapo watu watapata
nafasi ya kuaga tena kabla ya safari ya kuupeleka mwili Tukuyu, mkoani
Mbeya.
Kwa mujibu wa mtoa ratiba,...
Posted by Unknown
Posted on 7:10 AM
with No comments
POLENI SANA NDUGU ZETU WA ARUSHA KWA AJALI MBAYA ANGALIA PICHA HAPA
Simanzi
zimetanda jiji la Arusha baada ya watu zaidi ya 15 kufa katika ajali
iliyotokea eneo la Tengeru. Akiongea na mwandishi wetu mmoja ya
mashahidi aliyefika eneo la tukio na hospitali
ya Mount Meru amesema ajali ilitokea majira ya saa kumi jioni huko
maeneo ya Sadec-Darajani -Tengeru iliyohusisha gari la abiria aina ya
Hiace linalobeba watu toka Usa-River kwenda Arusha mjini na Lori la
mafuta.Aliongeza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa
hiace (gari la abiria) iliyokuwa ikijaribu kupita...