UPENDO KILAHIRO NA CHRISTINA SHUSHO WAPO NCHINI CANADA KIHUDUMA
Baada ya kazi njema ya kumtukuza Mungu katika mkutano mkubwa wa injili
nchini Canada ulioandaliwa na askofu Zachary Kakobe, waimbaji nyota wa
gospel nchini Christina Shusho pamoja na Upendo Kilahiro bado
wanaendelea na huduma ya injili nchini humo kabla ya kuelekea nchini
Marekani kuendeleza moto wa injili.
Katika mawasiliano na GI,Upendo amesema wanamshukuru Mungu mkutano
ulikuwa wa baraka sana, ambapo kwasasa wanajiandaa kwaajili ya tamasha
kubwa la uimbaji tarehe 7/7/2013 huko Ottawa katika jengo la Wells of
Salvation...
OMBI LANGU KWA MUNGU YA MATHA MWAIPAJA DVD KUPATIKANA MADUKANI KOTE SASA KUNZIA MWEZI HUU WA SITA
Posted by Unknown
Posted on 11:45 AM
with 2 comments

Matha mwaipaja katika pozi
Baada ya kukaa kwa muda mrefu tangu kutoka kwa audio cd ya ombi langu kwa mungu hatimaye video yake imekamilika na ipo madukani kote tanzania akizungumza na mtandao huu matha mwaipaja ambye sasa anawania tuzo za AGMA nchini london zitakazo tolewa mwezi wa saba amesema wapenzi wake wa mziki sasa watamuona...
Posted by Unknown
Posted on 8:55 AM
with No comments

KWA TAARIFA YAKO : MASWALI MENGI KUHUSU NDOA YALIMFANYA MARION SHAKO KUDANGANYA
Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu cha ''KWA TAARIFA YAKO''
ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la
kukupatia habari ambayo iliwahi kutukia lakini yawezekana huijui pia
yawezekana ilitukia ukawa unaijua lakini GK ikawa imesahau mahali au
kuna sehemu haina ukweli utapata fursa ya kusahihisha kwa kuweka comment
yako chini kabisa kwenye habari husika. Karibu
KWA TAARIFA YAKO hii leo tupo kwa mwanadada aliyetokea kuteka masikio ya wakazi wa Afrika...
MARTHA MWAIPAJA NA CHRISTINA SHUSHO NDANI YA LONDON, WAPIGIE KURA YAKO
Posted by Unknown
Posted on 8:50 AM
with No comments

MARTHA MWAIPAJA NA CHRISTINA SHUSHO NDANI YA LONDON, WAPIGIE KURA YAKO
Martha Mwaipaja nyota yake imeonekana kung'ara na kutambulika kimataifa
baada ya kupendekezwa kwa mara ya kwanza kuwania tuzo za injili za
Afrika ziitwazo Africa Gospel Music Awards(AGMA) ambazo zinatarajiwa
kutolewa mapema mwezi wa saba mwaka huu jijini London.
Mwimbaji huyo anayetamba na album yake ya pili aliyoitoa mapema mwaka
jana amewekwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya mwimbaji wa
mwaka Afrika mashariki akiwa sambamba na nyota mwingine wa muziki wa
injili nchini Christina Shusho ambaye amependekezwa...