Salamu ni nusu ya kuonana na ni sehemu ya kujenga undungu hayo ni maneno ambayo yameelezwa leo katika kituo cha redio overcomers leo ambapo wadau mbalimbli wamepokea zawadi kwa ajili ya kuonyesha upendo wa kweli kwao
Wanasalamu wakiwa studio tayari kwa mahojiano
...
OVERCOMERS RADIO WAGAWA ZAWADI MBALIMBALI KWA WASHINDI WA KADI
Posted by Unknown
Posted on 1:20 PM
with No comments
IGIZO LA YESU LATIKISA JIJI LA LONDON KWA MARA NYINGINE
Posted by Unknown
Posted on 11:07 AM
with No comments

IGIZO LA YESU LATIKISA JIJI LA LONDON KWA MARA NYINGINE
Maelfu ya wakazi wa jiji la London nchini Uingereza pamoja na wageni
wake hapo jana walifurika katika eneo la wazi maarufu katikati ya jiji
hilo la Trafalgar Square kushuhudia igizo la Yesu ambalo hufanyika
takribani kila Ijumaa kuu ya kila mwaka katika eneo hilo tangu mwaka
2010, ili kukumbuka mateso aliyopata mkombozi wa ulimwengu Yesu Kristo
miaka 2000 iliyopita.
Igizo hilo lililoandaliwa na kuongozwa na Peter Hutley OBE KSG huku
kinara mwigizaji katika nafasi ya Yesu akiwa ni bwana James(jina moja tu
ambalo GK...
THISDASO MKWAWA WAFANYA KWELI KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YAO YA PICHA YA 'SIKIA SAUTI
Posted by Unknown
Posted on 10:59 AM
with No comments
Jumapili ya iliyopita kwa ya ya wasabato wa chuo kikuu mkwawa waliweza kuszindua albamu yao ya kuona ya inayokwenda kwa jina la sikia sauti uzinduzihuo uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha mt. agustino ruco mjini iringa.
hapa ni kundi la baadhi ya kwaya zilizohudhuria katika uzinduzi huo
kwaya ya mt. benedeta kutoka mkwawa wakiimba
...
IRINGA HOLLY SEARCH IMEANZA RASMI LEO 16MARCH KATIKA UKUMBI WA TUCTA
Posted by Unknown
Posted on 3:04 PM
with No comments
Bi.kanzinyolo pichani akisisitiza jambo kwa washiriki
mwavita bernadi akishusha upako naye pia ni miongoni mwa washiriki wa mashindano hayo
philipo kutoka bongo fleva hadi kwenye gospelHatmaye ule mtanange wa kusaka vipaji yaani iringa holly star search umeendelea leo katika ukumbi wa tucta katika manispaa ya iringa huku kila mshiriki akionesha hamu ya kuwa mshindiWakizungumza na mtandao huu baadhi ya washiriki wamesema kuwa kwa sasa wameanza kutambua nini wanachokifanya kutokana na ushindani kuendelea kuwa mkubwa zaidi,Kwa...
BON MWAITEGE NAFURAHI KUWA NA MATUNDA YANGU
Posted by Unknown
Posted on 9:12 AM
with No comments

Normal
0
false
false
false
MicrosoftInternetExplorer4
st1\:*{behavior:url(#ieooui) }
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:"Table Normal";
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-parent:"";
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin:0in;
mso-para-margin-bottom:.0001pt;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:10.0pt;
font-family:"Times New Roman";
mso-ansi-language:#0400;
mso-fareast-language:#0400;
mso-bidi-language:#0400;}
Mwimbaji...
HOLLY GOSPEL SEARCH IRINGA KUMEKUCHA
Posted by Unknown
Posted on 5:28 PM
with 2 comments
mchakato wa kutafuta vipaji katika mkoa wa iringa maalufu kama holly search umeanza leo huku washiriki wakiwa na hamu kubwa ya kuwania zawadi mbalimbali kama vile kurekodi albamu pamoja na singo au wimbo mmoja
zifuatazo ni baadhi ya picha za washiriki katika holly gospel search iringa
...