
Mtatiro ameeleza kuwa fedha hizo zilitoroshwa kutoka hazina ya serikali kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania January 05 2017 na kuingizwa kwenye akaunti yenye jina la The Civic United Front ambapo anasema akaunti hiyo haikuwahi kuiidhinishwa na Bodi ya wadhamini ya CUF ili ipokee ruzuku kutoka Serikali Kuu. Unaweza kubonyeza play hapa chini.
0 comments:
Post a Comment