SIASA Onyo alilolitoa Rais Magufuli kwa Magazeti mawili ya Tanzania

SIASA Onyo alilolitoa Rais Magufuli kwa Magazeti mawili ya Tanzania
Rais Magufuli leo January 13 2017 akiwa Shinyanga ametoa onyo kwa magazeti mawili ya Tanzania ambayo anasema yamekua yakiandika habari za uchochezi na kupotosha Wananchi. Bila kuyataja magazeti yenyewe, JPM amenukuliwa akisema ‘Serikali ya kutumbua majipu haiwezi kuacha kutumbua magazeti yanayofanya mambo ya uchochezi, hatuwezi kuiacha Tanzania ikawa dampo la eneo la kuweka maneno ya uchochezi, chini ya utawala wangu hilo halitokuwepo‘ ‘Kuna Magazeti mawili tu kila ukisoma wao ni kuchochea tu, ikizungumzwa habari hii wao wanageuza…… nasema na nataka wanisikie siku zao zimeshafika...

Mzee Majuto : Ntaendelea Kuigiza Hadi Siku Yangu ya Kifo Changu

Mzee Majuto : Ntaendelea Kuigiza Hadi Siku Yangu ya Kifo Changu
Mkongwe wa Filamu za Kibongo nchini, aliyejipatia umaarufu kwa kuigiza vichekesho, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’, aliyeanza kuagiza mwaka 1958 akiwa na miaka 10, ambaye mwaka jana aliwahi kutangaza kuacha uigizaji na kumrudia Mungu, amesema ataendelea kuigiza hadi anakufa kwa sababu uigizaji upo kwenye damu na hii inadhihirishwa wazi kwani ni miaka 58 sasa ya uigizaji wake na fani hii ameianza akiwa darasa la pili. Majuto alizungumza hayo Dar es salaam Jana.Alisema hawezi kukubali kuona fani inachezewa na watoto, hivyo ataendelea kuigiza hadi siku atakayokufa kwa sababu uwezo wake ni wa hali...

Mganga Auawa Kwa Kuchomwa Visu........Kisa ni Kuwatapeli Watu Kwamba Atawapa Utajiri

Mganga Auawa Kwa Kuchomwa Visu........Kisa ni Kuwatapeli Watu Kwamba Atawapa Utajiri
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la DOTTO MWAIPOPO mkazi wa Kafundo – Ipinda wilayani Kyela Mbeya ameuawa kwa kuchomwa kisu ubavu wa kulia na BONIPHACE KISWAGA Mfanyabiashara na Mkazi Chaugingi Mkoani Njombe kwa madai ya kufanya utapeli. Taarifa ya Polisi Mkoa wa Mbeya imesema tukio hilo limetokea mnamo tarehe 11.01.2017 majira ya saa 4 usiku katika Kitongoji cha Ipinda – Chini, Kijiji na Kata ya Ipinda, Tarafa ya Tembela, Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya. Inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni kulipiza kisasi baada ya marehemu kuwatapeli watuhumiwa pesa ambazo kiasi halisi bado hakijafahamika...

NEC: Mbunge Peter Lijualikali kuendelea kuwa mbunge licha ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela

NEC: Mbunge Peter Lijualikali kuendelea kuwa mbunge licha ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela
Mjadala umeshika kasi mitaani, mitandaoni na kila mahali baada ya Mahakama ya wilaya ya Kilombero kumhukumu kutumikia kifungo cha miezi sita jela bila faini Mbunge Wa jimbo la Kilombero Mhe. Peter Lijualikali (30) kwa kosa la kufanya fujo na kusababisha taharuki katika maeneo ya ukumbi Wa halmashauri ya Wilaya ya Kilombero. Mbunge huyo, akiwa mshtakiwa namba moja pamoja na mwenzie Stephano Mgata (35) walitenda kosa hilo Machi 1, 2016 saa 4 asubuhi Kwenye kikao cha Baraza la Madiwani katika eneo la Kibaoni ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro. Imeelezwa  ...

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya January 12

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya January 12
...

VIDEO: Madai yaliyoibuka ndani ya CUF kuhusu wizi wa fedha

VIDEO: Madai yaliyoibuka ndani ya CUF kuhusu wizi wa fedha
Wakati mgogoro ndani ya chama cha wananchi CUF ukiwa haujamalizika na suala hilo kuwa bado lipo mahakamani, leo January 10 2017 Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, Julius Mtatiro amekutana na waandishi wa habari na kutoa kueleza kuwa chama hicho kimeibiwa fedha za ruzuku kiasi cha Tsh Milioni 369.37. Mtatiro ameeleza kuwa fedha hizo zilitoroshwa kutoka hazina ya serikali kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania January 05 2017 na kuingizwa kwenye akaunti yenye jina la The Civic United Front ambapo anasema akaunti hiyo haikuwahi kuiidhinishwa na Bodi ya wadhamini ya CUF ili ipokee ruzuku...

Eric Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye anakupa uhakika wa kucheka ukimsikia au kumtazama Msanii huyu kairudia movie ya ‘The gods must be crazy’ na ameeiita ‘The Gods are not crazy we are’.Eric Omondi The GoDs are not CRAZY We Are!!

Magazeti ya Tanzania January 09, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo

Magazeti ya Tanzania January 09, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
...

Pwani: Bunduki Ya Kivita SMG Iliyokuwa Imeibiwa na Mfanyakazi wa Hifadhi ya Saadani Yakutwa Kichakani

Pwani: Bunduki Ya Kivita SMG Iliyokuwa Imeibiwa na Mfanyakazi wa Hifadhi ya Saadani Yakutwa Kichakani
Silaha ya kivita aina ya SMG na risasi 30 mali ya Hifadhi ya Taifa ya Saadani vimekutwa vimefichwa kwenye kichaka jirani na Mto Kitame katika Kata ya Makurunge wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.  Silaha hiyo inadaiwa iliibiwa kwenye Geti la Gama saa tisa usiku Desemba 24, mwaka jana wakati askari wa hifadhi hiyo, Jackson Shirima (23) akiwa kazini.  Kamanda wa Polisi mkoani humo, Bonaventura Mushongi alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya askari huyo kutoka zamu ya lindo la geti hilo na kujipumzisha kwenye moja ya mahema akiwa na silaha hiyo.  “Huyu ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog