Home » » Zaidi ya bidhaa zenye kilo 200 za dhamani ya mililion moja na nusu zimeteketezwa kwa moto na mamlaka ya chakula na dawa tfda nyanda za juu kusini

Zaidi ya bidhaa zenye kilo 200 za dhamani ya mililion moja na nusu zimeteketezwa kwa moto na mamlaka ya chakula na dawa tfda nyanda za juu kusini


Mamlaka ya chakula na Dawa nyanda za juu kusini imeendesha zoezi la kuteketeza bidhaa mbalimbali mkoani iringa ambazo zimekwisha mda wake wa matumizi.


Akizungumza na nuru fm wakati wa kuteketeza bidhaa hizo Mkaguzi wa TFDA nyanda za juu kusini PAUL SONDA amesema kuwa wametekeza bidhaa hizo ili kulinda afya ya mlaji.

Aidha PAUL SONDA amewataka wanunuzi wa dawa au vipodozi kuhakikibidhaa hizo kwa kuangalia kama zimesajiliwa na TFDA.

Kwa upande wake AFISA AFYA Mkoa wa iringa HADIJAH HAROUN amebainisha kuwa ni vyema wananchi wakashirikiana na mamlaka husika kutoa taarifa kuangamiza
bidhaa ambazo hazijasajiliwa ili kulinda afya za wananachi.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog