Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
MicrosoftInternetExplorer4
...
Zaidi ya bidhaa zenye kilo 200 za dhamani ya mililion moja na nusu zimeteketezwa kwa moto na mamlaka ya chakula na dawa tfda nyanda za juu kusini
Posted by Unknown
Posted on 7:26 PM
with No comments
DC KILOLO AMFUKUZA MKUU WA KITUO CHA POLISI MTITU .
Posted by Unknown
Posted on 11:55 AM
with No comments
NA DENIS NYALI IRINGA
Kufuatia kuripotiwa kwa wingi wa matukio ya ubakaji mkoani iringa na tanzania kwa ujumla mkuu wa wilaya ya kilolo Mh Asia abdallah ameagiza kuhamishwa mara moja mkuu wa kituo cha mtitu kilichopo wilaya ya kilolo kutokana na uzembe wa kutofikisha taarifa za tukio la ubakaji kwa mkuu wa kituo cha polisi wilaya .
Tukio hilo limetokea baada ya mtoto mwenye umri wa miaka mitano na nusu kubakwa na watu watatu katika kijiji cha mawambala na kuharibiwa vibaya sehemu...