Watch Video: Mchezaji Wa Mbao Fc Alivyopoteza Maisha Uwanjani

Watch Video: Mchezaji Wa Mbao Fc Alivyopoteza Maisha Uwanjani
Ismail Khalfan mchezaji wa Mbao FC chini ya umri wa miaka 20, amepoteza maisha katika michuano ya timu za vijana wa umri chini ya 20 katika mchezo wa mwisho wa round ya 7 Kundi A kituo cha Kaitaba Bukoba, Ismail Khalfan alikuwa anavaa jezi namba 4 katika mashindano hayo  lakini ndio aliyefunga goli la la kwanza kwa Mbao FCdhidi ya Mwadui FC katika ushindi wa goli 2-0. ...

Kurasa za Magazeti ya leo; December 5, 2016

Kurasa za Magazeti  ya leo; December 5, 2016
Leo December 5 2016 pitia habari zote kubwa  zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na Michezo ili uje kinachoendelea. ...

ASKOFU MKUU WA KANISA LA PENTECOSTE GOSPEL CHURCH AWATAKA WACHUNGAJI KUWA WAAMINIFU.

ASKOFU MKUU WA KANISA LA PENTECOSTE GOSPEL CHURCH AWATAKA WACHUNGAJI KUWA WAAMINIFU.
ASKOFU MKUU WA PGC AKIMIMINIWA MAFUTA TAYARI KWA KAZI YA BWANA. ASKOFU MKUU WA PGC KULIA AKIWA NA ASKOFU MKUU WA EAST AFRIKA PAMOJA NA MAMA ASKOFU ALPHONCE NKANGA. Baadhi ya wageni waalikwa wakishuhudia tukio likiendelea la kusimikwa kwa askofu NKHANGA  Baadhi ya waumini wakimpongeza mama askofu mkuu wa kanisa la PGC Tanzania. NA denis nyali iringa. Askofu mkuu wa kanisa la PENTECOSTE GOSPEL CHURCH TANZANIA ALPHONCE KHANGA amewataka wachungaji kuwa waaminifu katika kazi ya MUNGU ili kuitenda kazi yake kwa ufasaha . Akizungumza mara baada ya kusimikwa...

Tamasha la Singeli na wanaIringa lilivonoga Ukumbi wa IDYDC

Tamasha la Singeli na wanaIringa lilivonoga Ukumbi wa IDYDC
Usiku wa Tarehe 18, November 2016 ulikuwa ni usiku wa Shoo ya Singeli na WanaIringa ulioandaliwa na kituo cha redio cha Nuru Fm ambapo kulikuwa na mashindano ya kuimba na kucheza Singeli. Mashindano yalikuwa na mvuto wa aina yake, na kulikuwa na kazi ngumu ya kumpata msanii anayejua kuimba kwa maana wote walikuwa ni wakali mno. Mwishowe mshindi wa kucheza na kwa upande wa mshini wa kuimba walipatikana, ila kitu cha pekee ni kwamba shoo ilikuwa na viongozi wakubwa Tanzania.... Tizama Picha hapo chini. ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog