Home » » Watch Video: Mchezaji Wa Mbao Fc Alivyopoteza Maisha Uwanjani

Watch Video: Mchezaji Wa Mbao Fc Alivyopoteza Maisha Uwanjani

Ismail Khalfan mchezaji wa Mbao FC chini ya umri wa miaka 20, amepoteza maisha katika michuano ya timu za vijana wa umri chini ya 20 katika mchezo wa mwisho wa round ya 7 Kundi A kituo cha Kaitaba BukobaIsmail Khalfan alikuwa anavaa jezi namba 4 katika mashindano hayo  lakini ndio aliyefunga goli la la kwanza kwa Mbao FCdhidi ya Mwadui FC katika ushindi wa goli 2-0.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog