MAHAFALI YA PILI YA SHULE YA SEKONDARI KWAKILOSA YAFANA MJINI IRINGA

MAHAFALI YA PILI YA SHULE YA SEKONDARI KWAKILOSA YAFANA MJINI IRINGA
ANNA NYALI AKIPOKEA CHETI  KATIKA MAHAFALI HAYO MMILIKI WA MTANDAO HUU AMBAYE NI KAKA NA ANNA NYALI AIKIMPONGEZA KWA KUMVALISHA TAJI KULIA NI BABA MZAZI WA MMILIKI WA MTANDAO HUU BATISTA NYALI PICHAN...
TUMAINI MAKUMILA IRINGA SASA KUJITEGEMEA NA KUWA UNIVERSITY OF IRINGA (UOI) MAHAFALI YA KUMI NA SITA (16) YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA TUMAINI IRINGA MAKUMIRA YAKIENDELEA       MLAU  MCHUNGAJI  OSWALD NDELWA AKIFAFANUA MAELEZO YAHUSUYO  DIGRII NA UVAAJI WA KOFIA KAMA TUKIO MAALUM LA KITAALUM     WAHITIMU WA  DIGRII YA UZAMILI MCHUNGAJI HIMIDI SAGGA WA KKKT IRINGA        HAPA NI KIJANA MDOGO KABISA PAUL LUBAWA AKISUBIRI KWA HAMU KUTUNUKIWA DIGRII YAKE YA UZAMILI      ...
BREAKING NEWS:MUME AUA MTOTO NA KUMCHOMA CHOMA MKE KWA KISU IRINGA Bi Janeth akiongea na mwandishi wa habari  Mwanaume mmoja mkazi wa ilolo mpya pawaga aliyetambulika kwa jina la Isaya Samamba,amejikuta hatiani baada ya kumuua kwa kumchomachoma mtoto wake Vanesa wa miezi kumi kwa kisu na kumjeruhi mama wa mtoto huyo anayetambulika kwa jina la Janeth malenda,akiongea na mtandao huu Bi.Janeth amesema kuwa siku hiyo alikuwa ameenda katika mkutano wa Injili na aliporudi nyumbani giza lilikuwa tayari limeingia,walipokuwa chumbani yeye,mtoto pamoja na mumewe alishangaa kuona...
WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA  Shabiki mwingine aliyezimia Shabiki wa Simba SC akiwa amezimia wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa imelala 3-0 mbele ya Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC ilisawazisha mabao yote kipindi cha pili na kupata sare ya 3-3. Watu zaidi ya 10 walizimia leo, wakiwemo mashabiki wa Yanga pia. ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog