v\:* {behavior:url(#default#VML);}
o\:* {behavior:url(#default#VML);}
w\:* {behavior:url(#default#VML);}
.shape {behavior:url(#default#VML);}
Normal
0
false
false
false
MicrosoftInternetExplorer4
st1\:*{behavior:url(#ieooui) }
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:"Table Normal";
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-parent:"";
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin:0in;
mso-para-margin-bottom:.0001pt;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:10.0pt;
...
Posted by Unknown
Posted on 12:21 PM
with No comments

HABARI PICHA: KILICHOTOKEA KANISA KATOLIKI PAROKIA YA MTAKATIFU JOSEPH, ARUSHA
Wananchi
wakikimbia kuelekea barabarani kutoka Kanisa katoliki, Parokia ya
Mtakatifu Joseph iliyokuwa izinduliwe jana na balozi wa kiongozi wa
kanisa katoliki duniani, Papa Benedict, Askfou Francisco Montecillo
Padilla.
Sehemu ya mbele ya kanisa katoliki Parokia ya Mtakatifu Joseph, Olasiti, Arusha.
Huzuni ikiwa imetanda kwa masista kanisani hapo.
Askari Polisi wakichukua sampuli eneo la tukio.
Wapelelezi wakiendelea na kazi yao eneo la tukio.
vikosi vya kila aina, ndani ya uniofrm...
RAIS WA BARAZA LA MAASKOFU AWATAKA WAKRISTO NCHINI KUONGEZA KASI YA SALA
Posted by Unknown
Posted on 12:12 PM
with No comments

Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania Mhashamu askofu Tarcisius Ngalalekumtwa
=====================================
Na Gustav Chahe, Iringa
RAIS wa Baraza la Maakofu
Tanzania (TEC) Mhashamu askofu Tarcisius Ngalalekumtwa amewataka waamini
wakristo kutokuwa na moyo wa kuhamaki kutokana na kitendo kilipuliwa Kanisa
Katoliki huko Arusha.
Amezungumza hayo katika mahojiano
maalum mtandao huu wa www.matukiodaima.com mahojiano yaliyofanyika ofisini kwake Iringa juu ya vitendo...