HUZUNI imetanda katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya ajali ya moto wa kibatari kuteketeza watoto wanne wa mama mmoja, waliokuwa wamefungiwa chumbani na dada anayewalea.
Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana katika mtaa wa Nyerere, mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa, wakati mama wa watoto hao aliposafiri kwenda shambani Kiteto mkoani Manyara, kwa ajili ya kuvuna mazao na kuwaacha watoto wake mikononi mwa dada, aliyekuwa akimsaidia kuwalea.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, Lazaro Mambosasa alisema chanzo cha ajali hiyo ni mlipuko...
Watoto Wanne wa Familia Moja Wateketea Kwa Moto Wakiwa Usingizini
Posted by Unknown
Posted on 1:40 PM
with No comments
Taasisi 680 Kufutwa.....Zipo za Kidini na za Kisiasa
Posted by Unknown
Posted on 1:37 PM
with No comments

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), inakusudia kuzifutia usajili bodi za udhamini 680 za taasisi mbalimbali; ambazo zimekiuka masharti, ikiwa ni pamoja na kutokuwa hai.
Aidha, Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe ameuruhusu wakala huo kuanza kusajili bodi za udhamini; huku akiutaka kuhakikisha bodi zitakazosajiliwa zinaendeshwa kwa mujibu wa sheria na taratibu.
Akizungumza jana Dar es Salaam katika mkutano wa Bodi ya Wadhamini ya Rita, Dk Mwakyembe alisema, wakala huo unatakiwa kuzifuta haraka bodi hizo ili kuwepo na bodi chache ambazo ziko hai.
“Mmefanya kazi...
DIWANI WA KATA YA NDULI ASHIRIKI MAENDELEO YA KUCHIMBA BARABARA NA KUREKEBISHA MAENEO KOROFI AKISHIRIKIANA NA WANAINCHI.
Posted by Unknown
Posted on 1:30 PM
with No comments

PICHA ZA WAKAZI WA KIGONZIRE WAKISHIRIKI SHUGHULI ZA KIMAENDELEO.
Diwani wa kata ya nduli manispaa ya iringa wa kwanza katika picha akiwajibika kwa wanainchi.
mtangazaji wa nuru fm na mwakilishi wa efm na wapo radio akiwajibika pia denis nyali mwenye tisheti ya njano.
...