Kambi ya Upinzani imelizidi maarifa Bunge na kurejesha sakata la kuuzwa
nyumba za Serikali ambalo juzi lilisababisha kiti cha Spika kuagiza
yaondolewe maneno yanayomtaja Rais katika hotuba ya maoni mbadala.
Juzi,
Kamati ya Kanuni za Bunge ilihariri hotuba ya msemaji wa kambi ya
upinzani wa Wizara ya Mambo ya Ndani, ikiondoa maneno yanayomtaja Rais
John Magufuli na badala yake kuweka neno Serikali kwenye sakata la
uuzwaji nyumba za Serikali.
Kamati hiyo pia iliondoa suala la
mkataba wa Jeshi la Polisi na kampuni ya Lugumi Enterprises, rushwa,
mauaji ya wanasiasa, mwenendo...
Upinzani Wamtega Rais Magufuli....Watumia Njia Mbadala Bungeni Kukumbushia Uuzwaji wa Nyumba za Serikali, Wadai MV Dar es Salaam Ni Jipu Lililoiva
Posted by Unknown
Posted on 9:54 AM
with No comments
Rais Magufuli Atishia Kuwatumbua JIPU Mawaziri Wawili......Wenzao Wabaki Vinywa Wazi Kikaoni
Posted by Unknown
Posted on 9:51 AM
with No comments

Operesheni
ya kutumbua majipu ya Rais John Magufuli nusura iwaangukie Mawaziri
wawili ambao pia walikuwa manaibu mawaziri katika Serikali ya Awamu
ya Nne.
Taarifa
kutoka katika chanzo cha kuaminiwa zimeeleza kuwa Rais Magufuli
alionesha kutoridhishwa na utendaji wa Mawaziri hao na kuwafokea mbele
ya mawaziri wenzao kwa kuwataja majina katika kikao maalum cha mawaziri
kilichofanyika hivi karibuni.
"Ni
mazingira ambayo mawaziri hawakuyazoea kwamba Rais anawaambia moja kwa
moja kwa majina, anafoka akisema anaweza kuwafukuza wakati wowote.....
"Mawaziri
...
Bavicha Walaani Hotuba ya Godbless Lema Kuzuiwa Bungeni........Wataka Waziri Kitwanga Ajiuzulu na Akigoma Awajibishwe
Posted by Unknown
Posted on 9:47 AM
with No comments

Wakati uchunguzi wa kampuni ya Lugumi inayodaiwa kushindwa kutekeleza
mradi wa utambuzi wa vidole kwenye vituo vya polisi ukiendelea, Baraza
la Vijana la Chadema (Bavicha) limemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya
nchi, Charles Kitwanga kujiuzulu wadhifa wake kupisha uchunguzi huo.
Limesema
haiwezekani waziri anayetajwa kuhusika katika sakata hilo kuendelea na
kazi huku Jeshi la Polisi linalodaiwa kutapeliwa na kampuni hiyo likiwa
chini ya wizara yake.
Hata hivyo, waziri huyo amewajibu vijana
hao wa upinzani kwa kusema hawezi kubishana na watoto na hayo
waliyoyatoa ni mawazo yao...
HATIMAYE MUNGU AMFUTA MACHOZI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI LEMBO JUNIOR MZEE WA UWE KILA KITU.
Posted by Unknown
Posted on 9:36 AM
with No comments

HUU NI UJUMBE KUPITIA UKULASA WAKE WA FACEBOOK.
#MERCIFUL_GOD_HAS_SURPRISED_US! NINA SHINDWA NIANZIE WAPI! MWAMKE NI WAKUPENDWA NA KUTHAMINIWA NA KUPEWA "RESPECT" LEO NI OUR 2ND ANNVERSARY NA JANA SAA TANO ASUBUHI MUNGU ALITUBARIKI a VERY VERY HEALTHIER BABY GIRL named REGINA(Queen) #MUNGU_UNAUJUA_MOYO_WANGU_ASANTE_SANA_YESU! KWA KUNILETEA MAMA MAVOCAL ATAKUTUMIKIA MAISHA YAKE YOTE!#ANNA_EMMANUEL_LOVES_YOU_VERY_MUCH!hahahaaaaa kwa WENYE dhawadi tigopesa na mpesa ziko active
...
MWALIMU WA SHULE YA MSINGI UGANGA YA MAKETE MKOANI NJOMBE ASHINDA LAKI NANE KATIKA DROO YA NMB.
Posted by Unknown
Posted on 2:23 PM
with No comments

hili ndilo gurudumu la bahati na sibu.
meneja wa benki ya nmb tawi la iringa kulia pichani akifurahia jambo
meneja wa nmb akimtambulisha mshindi kutoka makete aliyeingia kwenye droo.
baadhi ya wafanyakazi na wateja wa nmb.
na denis nyali.
shindano la pata patia linaloshindanishwa na benk ya nmb nchini hii leo limeendelea baada ya mshindi mmoja kuibuka kwa kujinyakulia laki nane.
akizungumza kuhusu shindano hilo meneja wa benki ya nmb tawi la iringa sumka mbuba amesema katika mkoa wa iringa kulikuwa na washindi wa tatu ambao wa ni miongoni mwa washindi...
Wakurugenzi Katavi Kikaangoni ......Mkuu wa Mkoa Awataka Warejeshe Milioni 200 Walizolipa Watumishi Hewa
Posted by Unknown
Posted on 1:51 PM
with No comments

Wakurugenzi wa Halmashauri zote mkoani Katavi, wameagizwa kurejesha Sh200 milioni wanazodaiwa kuwalipa watumishi hewa ndani ya siku 21.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali mstaafu, Raphael Muhuga alitoa agizo hilo jana katika kikao baina yake na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa pamoja na waandishi wa habari.
Alikuwa akitoa taarifa ya kubainika kwa watumishi hewa wapya mkoani humo.
Muhuga alisema kuendelea kubainika kwa watumishi hao hewa, itawabidi wakurugenzi kuhakikisha fedha zote zilizolipwa kwa watu hao zinarejeshwa serikalini kwa muda aliowataka wazirejeshe na wampatie taarifa...
Serikali Yabaini tani 4,579.2 za Sukari zilizokuwa zimefichwa.
Posted by Unknown
Posted on 1:50 PM
with No comments

Taasisi ya kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) imebaini kuwepo kwa sukari iliyofichwa tani 4,579.2 iliyonunuliwa toka Kiwanda cha Sukari Kilombero.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es salaam na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valentine Mlolowa Taasisi hiyo imeanza uchunguzi dhidi ya swala hilo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.
Taarifa hiyo imefafanua kuwa mnamo tarehe 05 Mei, 2016 timu ya uchunguzi ilitembelea maghala yaliyopo Tabata Jijini Dar es salaam na kubaini uwepo wa sukari hiyo.
TAKUKURU tayari imetembelea Maghala ya mfanyabiasha Haruni...
Baba Aua Mtoto wa Kambo chumbani.......Yadaiwa ni Baada ya kumtuma mkewe Dukani kununua Dawa Watu wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti, akiwamo mtoto Ma
Posted by Unknown
Posted on 9:49 AM
with No comments

Watu wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti, akiwamo mtoto Mariam
Haule (2) kwa kunyongwa na baba yake wa kambo baada ya kumtuma mama
yake dukani kisha kutokomea kusikojulikana.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Hamis Issa alisema jana kuwa, tukio hilo lilitokea Mei 2.
Issa
alisema kuwa mtuhumiwa huyo mkazi wa Kijiji cha Usimba, Wilaya ya
Kaliua mkoani humo kabla ya kufanya mauaji hayo, alimtuma mkewe, Kalunde
Malugu kwenda dukani kununua dawa .
Alisema baada ya mkewe kwenda dukani, alipata mwanya wa kufanya mauaji hayo kisha kutokomea kusikojulikana.
“Tunawaomba
...
Mume Amuuwa Mke Wake Pamoja Na Mtoto Kwa Kuwachinja Na Kisu Wilayani Bagamoyo Mkoa Wa Pwani
Posted by Unknown
Posted on 9:44 AM
with No comments

JESHI
la Polisi mkoani Pwani linamshikilia Frowin Peter Mbwale (26) mkazi wa
Kawe Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kuua kwa kuwachinja mkewe Oliver
Erasto (23) na mtoto wake Emanuel Frowin (3) kutokana na wivu wa
mapenzi.
Kwa
mujibu wa taarifa zilizotolewa kwa waandishi wa habari Kamanda wa
Polisi mkoani Pwani Bonaventura Mushongi alisema kuwa tukio hilo
lilitokea majira ya saa 10:30 jioni eneo la Zinga kata ya Dunda Tarafa ya Mwambao wilayani Bagamoyo.
Mushongi
alisema kuwa katika hali isiyo kuwa ya kawaida juzi siku ya tukio
mtuhumiwa akiwa na mwenzake alijulikana kwa jina...