Mtoto
mwenye umri wa miaka 3 na miezi 4 Mariam Deogratius mwanafunzi wa shule
ya awali ya Makoko iliyopo katika Manispaa ya Mji wa Musoma mkoani
Mara, amebakwa kisha kunyongwa hadi kufa na mtu asiyejulikana Usiku wa
kuamkia leo.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Mara kamishna msaidizi Philllip Kalang amethibitisha
kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa Jeshi la Polisi linafanya Msako
kuhakikisha Mhalifu anapatikana...
Mtoto wa Miaka Mitatu Abakwa Na Kunyongwa Hadi Kufa.
Posted by Unknown
Posted on 5:02 PM
with No comments
Zimenifikia kurasa za mbele za magazeti ya Uingereza ya Leo February 24
Posted by Unknown
Posted on 7:54 AM
with No comments
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akana Kutoa Amri ya Kufuta Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar .
Posted by Unknown
Posted on 7:49 AM
with No comments

MWENYEKITI
wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete amesema
hajahusika kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar kwa kumpigia simu Mwenyekiti wa
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.
Aliyasema
hayo juzi mjini Kibaha wakati wa uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Chama ya
Kibaha Mjini mkoani Pwani na kusema maneno hayo ni ya uongo, hayana
ukweli wowote na watu hawapaswi kutoa shutuma hizo juu yake.
Rais
huyo wa Awamu ya Nne alisema maneno hayo hayana kichwa wala miguu wala
hajawahi kumpigia simu Jecha kwa ajili ya kuzungumzia masuala ya kufutwa
...
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Februari 24 .
Posted by Unknown
Posted on 7:47 AM
with No comments
Baba Amchoma Mwanawe vidole kisa Mboga Ya Sh. 500
Posted by Unknown
Posted on 7:45 AM
with No comments

MKAZI
wa kitongoji cha Kazima – Kichangani Kata ya Kawajense, Manispaa ya
Mpanda mkoani Katavi, Emmanuel Joseph (31) amemfanyia unyama mtoto wake
wa kumzaa, George Emmanuel (4) kwa kuvichoma kwa moto vidole vyake vya
mkono wa kushoto, akimtuhumu kukomba mboga yote ya majani aina ya
‘chainizi’ yenye thamani ya Sh 500.
Inasemekana
baba huyo amekuwa akiishi na watoto wake watatu baada ya kuachana na
mkewe wa ndoa, Semsni Jahala (28) Machi mwaka jana.
Kaimu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Rashid Mohamed amethitibisha
amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema lilitokea...
Kama ulikamatwa na Polisi barabarani Dar mwezi huu, faini yako imeijazia BILIONI MOJA kama ifuatavyo
Posted by Unknown
Posted on 7:42 AM
with No comments

Kikosi cha usalama barabarani kanda maalum ya Dar es salaam kimetangaza kukusanya kiasi cha shilingi BILIONI MOJA NUKTA TISA (1.9)
kutokana na faini za ukamataji wa makosa ya usalama barabarani kuanzia
siku ya kwanza ya February 2016 mpaka tarehe 22 ya mwezi huu.Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amesema ‘Sio
kwamba tunafurahia watu wafanye makosa ili tuingize pesa, hatupendi
tuwe na pesa nyingi za makusanyo kwa ajili ya kuonea Wananchi… hapana,
tunafanya hivyo kudhibiti na kuhakikisha kunakuwa na utii wa sheria‘
HIZO BILIONI 1.9 ZIMETOKANA NA HII LIST HAPA CHINI
IDADI...
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 17 2016 kwenye udaku, Hardnews na michezo
Posted by Unknown
Posted on 7:05 AM
with No comments
PAA ZA NYUMBA NNE ZAEZULIWA NA UPEPO IRINGA.
Posted by Unknown
Posted on 6:56 AM
with No comments

Upepo
mkali uliombatana na mvua kiasi umeezua paa za nyumba nne na kuwaacha wakazi zaidi 15 wakiwa hawajui jambo la kufanya mara baada ya kukumbwa na kadhia hiyo.
Familia
hizo ambazo zipo Mtaa wa Nduli, Kata ya Nduli, Manispaa ya Iringa zimekumbwa na
kadhia hiyo hii leo majira ya saa kumi na moja kasoro jioni ambapo hata hivyo
hakuna mtu alipepatwa na dhoruba ya kupata majeraha ama kifo baada ya janga
hilo.
Akizungumzia
tukio hilo mara baada ya kufika na kujionea hali halisi, Mkuu wa Wilaya ya
Iringa, Ndg Richard Kasesela ameuambia mtandao wa Wazo Huru kuwa, alipata
taarifa...