Home » » BREAKING NEWZZZZZZZ CHRISTOPHER MTIKILA MWENYEKITI WA DP AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI CHALINZE

BREAKING NEWZZZZZZZ CHRISTOPHER MTIKILA MWENYEKITI WA DP AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI CHALINZE


Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha  DP Christopher Mtikila amefariki dunia alfajiri ya leo wakati akitokea Morogoro kuelekea Dar es salaam.
IMG-20151004-WA0009
Taarifa zilizotufikia kupitia kwa kamanda wa Polisi Pwani Jafari Mohamed amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na alifarika saa 12 kasorobo katika kijiji cha Msolwa, Chalinze akiwa kwenye gari ndogo huku wenzake watatu wakijeruhiwa vibaya.
IMG-20151004-WA0006
Gari aliyopata nayo ajali Mch.Christopher Mtikila
mtikila 2
Mtikila alitangaza kugombea Urais kupitia chama chake cha DP lakini chama chake ni moja ya vyama ambavyo vilikatwa kutokana na akutotimiza
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog