Tunataka Tukutumie Habari zetu mara tu Tunapoziweka Mtandaoni,Bonyeza Hapa
MBUNGE
wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika
Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo,
ameomba kuchangia akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika wa sakata hilo. Mbali
na kuvaa hivyo, Lugola pia aliomba kama kanuni zinaruhusu achangie tena
akiwa amevaa nguo za chama chake cha CCM ili kuonyesha kuwa CCM haiungi
mkono vitendo viovu japo alikataliwa na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe.
Zungu....
BON MWAITEGE AJA NA KITU KIPYA CHA DAKIKA 45 SOMA MWANANGU AKISHIRIKIANA NA BAHATI BUKUKU
Posted by Unknown
Posted on 8:37 AM
with No comments

Mwanzoni mwa wiki hili mwanamziki wa nyimbo za injili bon mwaitege amesikika redioni kuwa anatarajia kuja na ujio mpya baada ya kutamba na albamu ya mama ni mama sasa amekuja na wimbo ambao unajulikana kama {soma mwanangu} akiwa ameshirikiana na bahati bukuku,
akizungumza na gospel za iringa na habari bon amesema kuwa wimbo huo ambao umelenga zaidi kwa upande wa elimu ameuandaa ili watanzania hususa wanafunzi watambue umhimu wa elimu katika nyakati za sasa,
aidha bon amesema kuwa video ya wimbo huo inatarajia kukamilika ndani ya wiki mbili zijazo ikiwa na dk 45 hivyo wanainchi wajiandae...
HATIMAYE MWIMBAJI NA MWALIMU WA KWAYA YA LULU GEOGY NJABILI AZIKWA LEO JIJINI MBEYA
Posted by Unknown
Posted on 9:43 PM
with No comments

Imechapwa na :
Gospel Kitaa
Saa
16:24
In:
George Bonge
,
Tanzia
Marehemu George 'Bonge' Njabili
Kwa sasa msiba upo nyumbani kwa marehemu Tabata Bima karibu na Shule ya
St Mary's ambapo watu mbali mbali wanaweza kufika kutoa pole kwa familia
ya Marehemu.
Ratiba ya kuuaga mwili itaanza kesho saa 4 kamili aubuhi nyumbani kwa
marehemu hadi hapo itakapo ishia kisha msafara utaanza kuondoka kuelekea
katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Mtoni ambapo watu watapata
nafasi ya kuaga tena kabla ya safari ya kuupeleka mwili Tukuyu, mkoani
Mbeya.
Kwa mujibu wa mtoa ratiba,...