WAKRISTO NCHINI TANZANIA WAMETAKIWA KUPANGA BAJETI ZA KIROHO SIO ZA KIMWILI TU

WAKRISTO NCHINI TANZANIA WAMETAKIWA KUPANGA BAJETI ZA KIROHO SIO ZA KIMWILI TU
                        Wito umetolewa kwa wakristo kote nchini kuweka bajeti za kiroho na sio za kimwili tu kwani kufanya hivyo kuta wasaidia kupendeza mungu na kupata dhawabu kutoka kwake akizungumza kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya kilolo ambaye ndiye alitakiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ya ATASHUKA  kwaya ya revival ya tag ilula mtua jana bw.kiteve amewaasihi wanainchi kuacha kupanga bajeti za kimwili huku wakishindwa kupanga bajeti za kiroho ambako roho zetu zitakuwa huko. hata hivyo mgeni rasmi aliahidi...

YOUTH ALIVE CHOIR CCT MKWAWA WAZINDUA ALBAMU YAO YA PILI YA NJOONI TUKARIBIE KITI CHA REHEMA

YOUTH ALIVE CHOIR CCT  MKWAWA WAZINDUA ALBAMU YAO YA PILI YA NJOONI TUKARIBIE KITI CHA REHEMA
Wanakwaya ya youth alive kutoka cct mkwawa baada ya kutamba na albamu ya gusa  ambayo wametambanayo kwa miaka miwili hatmaye siku ya jumapili ya tare 7.4 .2013 katika ukumbi wa ruco mkoani iringa na hizi ni baadhi ya picha ambazo zilipigwa siku ya tukio              hope kwaya kutoka cct ruco wakiendelea kumsifu mungu                             thisdaso kwaya kutoka mkwawa wakiendelea kuimba         ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog