HAYA NDIO MATUKIO MUHIMU YA PAPA BENEDICT XVI
Papa
Benedict wa 16, ameainisha wazi kuwa anastaafu uongozi mkuu wa Kanisa
Katoliki duniani mwishoni mwa mwezi huu, na hivyo kutoa nafasi kwa
mchakatow a kumpata Papa mpya kuanza.
Yafuatayo ni matukio muhimu katika maisha yake, kama ambavyo GK imeyakusanya kwenye mtandao.
April 16, 1927: Kuzaliwa kwa Alois Ratzinger huko Marktl am Inn, Ujerumani, mtoto wa mwisho wa Joseph na Maria Ratzinger.
1943 - 1945: Amekuwa msaidizi wa majeshi ya ulizni nchini Ujerumani,...
je? unafahamu huyu??????????????????
Posted by Unknown
Posted on 10:48 AM
with No comments

MAKALA: SIPHO MAKHABANE GWIJI LA MZIKI ALIYETANGAZA KUSTAAFU
Sipho Makhabane. ©Iol.co.za
Sipho Makhabane si jina geni katika tasnia ya muziki wa injili barani
Africa ukifananisha na majina ya wanamuziki wengine kama Joyous
Celebration ama Sfiso Ncwane, yeye ni mmoja wa magwiji wa uimbaji nchini
kwake Afrika ya kusini akiwa ameshiriki katika shughuli mbalimbali za
kiroho na kijamii mpaka sasa akiwa na umri wa miaka 45
Gwiji hili la muziki ambalo lilitangaza kustaafu uimbaji mnamo mwaka
2010 ingawa mwaka jana alitoa album nyingine mpya akiwa ana miliki
kampuni kubwa inayotoa wanamuziki...
TUJITAHIDI KUONEKANA TUMEKUBALIWA NA MUNGU TUSIKATE TAMAA
Posted by Unknown
Posted on 1:43 PM
with No comments
PICHA ZA GRADURATION YA FORM SIX MWEMBETOGWA ZA RUTH MASSABA
MSHUKURU MUNGU KWA KUKUWEZESHA KUFIKIA HAPO SEMA ASANTE
wazazi wa ruth pamoja na majirani zao katika picha ya pamoja
Ruth mashaba katika pozi
denis nyali mtangazaji wa overcomers radio akikabidhi zawadi kwa ruth
HONGERA RUTH SAMWELI MASHABA
Siku ya ijumaa ya tare 1.2.2013 familia ya mchungaji samweli masaba wa kanisa la aict mkoani iringa
walikuwa na furaha kubwa kutoka kwa binti yao ruth masaba ambaye alihitimu kitado cha sita kutoka shele ya sekondari ya mwembetogwa iliyopo mkoani...
YUPO HAPA YA LISU KUZINDULIWA LEO JIJI DAR
Posted by Unknown
Posted on 11:16 AM
with No comments

mwimbaji wa nimbo za injili john lisu akiwa uweponi
Alive is jehover leo kwa wakazi wa dar moto lazima uataw...