HAYA SASA WAPENZI WA MZIKI WA GOSPEL HHEBU SASA MFAHAMU HUYU

HAYA SASA WAPENZI WA MZIKI WA GOSPEL HHEBU SASA MFAHAMU HUYU
Solomon ambaye pia ni mchungaji anasema kuwa kipaji chake amepewa na Mungu japo anaweka na jitihada zake binafsi.  Nyimbo zake nyingi anajifunza kutoka kwa waimbaji wa injili Tanzania kwani wana nafasi ya kwanza katika soko la muziki huo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Solomon mwenye asili ya DRC akitokea Goma Mashariki mwa mji huo akizaliwa katika familia ya kumjua Mungu japo anasema kuwa baba yake alikuwa na wake wawili.  Anasema kuwa aliondoka nchini Congo na kuachana na wazazi wake mwaka 2003 ambapo alielekea nchini Uganda na kukaa kwa miaka mitatu na nusu...

HABARI ZAIDI ZA PADRI ALIYEPIGWA RISASI ZANZIBAR USIKU WA JANA

HABARI ZAIDI ZA PADRI ALIYEPIGWA RISASI ZANZIBAR USIKU WA JANA
HABARI ZAIDI ZA PADRI ALIYEPIGWA RISASI ZANZIBAR USIKU WA JANA Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Aziz Juma Mohammed amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo alisema Father amepigwa risasi na ameumizwa sehemu ya kichwa na amekuwa akitoka damu nyingi kichwani na tayari anapatiwa matibabu katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja. Alisema jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini wahusika walifanya uhalifu huo kwa madhumuni gani kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. “Sisi tunahesabu kuwa kitendo hiki ni kitendo cha kihalifu na tunawatafuta wahalifu waliofanya...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog