MAMIA WAMIMINIKA KATIKA KONGAMANO LA MAOMBI NA MAOMBEZI KWA KATUNZI
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es salaam na vitongoji vyake wanamiminika
katika kongamano kubwa la maombi na maombezi lililoandaliwa na kanisa
la E.A.G.T City Centre chini ya mchungaji wake kiongozi Florian Katunzi
katika ukumbi wa PTA uliopo viwanja vya mwalimu JK Nyerere zamani
Sabasaba.
Kongamano hilo la siku nane lililoanza siku ya jumapili nakutarajiwa
kumalizika jumapili hii linatarajia kupambwa na waimbaji mbalimbali wa
gospel nchini wakiongozwa na Bahati Bukuku, Masanja Mkandamizaji, Flora
Mbasha, Martha Mwaipaja,...
MAMA AMCHOMA MTOTO MOTO NA KUMLISHA KINYESI CHA MAMA MDOGO WAKE
Posted by Unknown
Posted on 8:01 AM
with No comments

mtoto anety akionesha jeraha alilounguzwa na mama yake
mama ambaye jina lake halikufahamika akiwa amembeba mtoto tayari kwa kumpeleka hospitalini
MTOTO aliyejulikana kwa jina moja la Aneth (pichani) anayekadiriwa kuwa
na umri wa miaka miwili, mkazi wa eneo la Majengo Kaskazini jijini Mbeya
ameunguzwa vibaya mwili wake na kulazimishwa kula kinyesi na Mama yake
Mdogo aliyejitambulisha kwa jina la Revina.Tukio hilo la
kikatili liligundulika jana eneo hilo majira ya saa tano asubuhi ambapo
mwandishi wa habari hizi alifika eneo la tukio na kuukuta umati wa watu
na mtuhumiwa...