...
TAPELI WA MTANDAONI AKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI IRINGA
Posted by Unknown
Posted on 4:22 PM
with No comments
TUNDU LISSU AMVAA WAZIRI WA MAGUFURI KUHUSU NDEGE
Posted by Unknown
Posted on 2:38 PM
with No comments
WATOTO WATATU WA LUCKY VICENT WALIOWASILI LEO WAWALIZA WATANZANIA WALIOENDA KUWAPOKEA UWANJA WA NDEGE WA KIA
Posted by Unknown
Posted on 2:19 PM
with No comments

Wazazi,
watoto na watu mbali mbali wameshindwa kujizuia na kumwaga chozi
walipokuwa wakiwapokea watoto Sadia Ismail, Doreen Eribariki na Wilson
Tarimo, ambao wamerejea rasmi nchini wakitokea nchini Marekani
walikokuwa wakipatiwa matibabu.
Watoto
hao ambao ni manusura wa ajali iliyoua takriban wanafunzi 32 wa shule
ya msingi Lucky Vicent, wamepokelewa na viongozi mbali mbali wa serikali
wakiwemo Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Bi. Anna Mghwira, Mbunge wa
Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu, wazazi na wanafunzi wa shule ya Lucky
Vicent, waliwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
Polisi Afrika Kusini wapiga kambi mipakani kumzuia mke wa Rais Mugabe
Posted by Unknown
Posted on 2:06 PM
with No comments

Maafisa wa polisi wa Afrika Kusini wametoa tahadhari dhidi ya Mkewe
rais Mugabe katika mipaka ya taifa hilo , waziri wa polisi nchini humo
amesema.
Ametuhumiwa kwa kumpiga na kumjeruhi mwanamke wa miaka 20 katika
kichwa chake katika chumba cha hoteli karibu na mji wa Johannesburg .
Polisi wanatariaji kwamba Bi Mugabe mwenye umri wa miaka 52 alipaswa
kujiwasilisha mbele yao siku ya JUmanne lakini akakataa kufanya hivyo.
Bi Grace mugabe kwa sasa hajulikani yu wapi lakini inaaminikwamba bado yupo Afrika Kusini.
Gabnriela Engels
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe pia amewasili nchini...