Tanzania imetoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizofanyika usiku wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band walikuwa wametajwa kuwania tuzo hizo.
Wizkid alikuwa man of the night
Ulikuwa ni mwaka wa Wizkid aliyeibuka na tuzo nyingi zaidi, ikiwemo ya msanii bora wa mwaka. Diamond na Alikiba walikuwa miongoni ma wasanii waliotumbuiza.
“Shukran sana sana kwa Kura na support Kubwa mlionipa na mnayoendelea kunipa,” ameandika Diamond kwenye Instagram.
“Pia S/O kwa my fellow Tanzanian Artist wote waliobahatika...
Video: MTVMAMA2016: Tanzania yatoka kapa, hii ni orodha nzima ya washindi
Posted by Unknown
Posted on 6:38 AM
with No comments
Taarifa kutoka Ikulu: Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)
Posted by Unknown
Posted on 6:31 AM
with No comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Prof. Ninatubu Mbora Lema kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA).
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 22 Oktoba, 2016 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi huu umeanza tarehe 20 Oktoba, 2016.
Prof. Ninatubu Mbora Lema anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhandisi Lambert Ndiwaita aliyefariki dunia tarehe 20 Agosti, 2015.
Prof. Ninatubu Mbora Lema ni Profesa Mshiriki Usimamizi wa Ujenzi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Associate Professor of Construction...
Kurasa za Magazeti: Leo Jumapili Oktoba 23, 2016
Posted by Unknown
Posted on 6:29 AM
with No comments

Leo ni Oktoba 23, 2016 Kurasa za magazeti ya Tanzania zina habari nyingi kwaajili yako. Cha kufanya ni kuzipitia kurasa hizo za mbele na nyuma hapo chini kisha utaacha maoni yako baada ya kuzisoma.
Kumbuka ni kwa msaada ya MillardAyo.
...
Kurasa za Magazeti: Leo Ijumaa Oktoba 21, 2016
Posted by Unknown
Posted on 6:33 AM
with No comments

Makubwa yameandikwa kwenye kurasa za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa tarehe 21, Oktoba 2016. Naomba comment yako kwa habari itakayokugusa kwa kuniandikia pale chini.
Hii ni kwa msaada wa MillardAyo.
...