Afisa mahusiano wa iruwasa bi restuta akihakikisha bomba la ndani likitoa maji ndani ya nyumba iliyokuwa ikitumia maji kwa zaidi ya miezi mitatu.
wa kwanza kulia ni mtuhumiwa wa wizi wa maji akitoa maelezo kwa mamlaka ya maji mkoani iringa baada ya kugundulika akitumia maji bila kulipia.
Jitihada za kupambana na maji zinazofanywa na mamlaka ya maji iruwasa zimeaanza kuzaa matunda baada ya leo kufanikiwa kumkamata mwizi mmoja katika mtaa wa kihodombi manispaa ya iringa.
akizungumza na mtndao huu afisa uhusiano wa idara ya maji bi restuta amesema taarifa za wizi huo...
MAMLAKA YA MAJI MKOA WA IRINGA IRUWASA YAMNASA MWIZI WA MAJI ALIJIINGIZIA KINYEMELA.
Posted by Unknown
Posted on 6:02 PM
with No comments