Ngao ya Jamii Ligi Kuu England ni Chelsea Vs Arsenal Jumapili hii,wengine je?.. Kipenga cha kuanza kwa ligi kuu ya England msimu mpya kinatarajia kupulizwa jumapili hii wakati mabingwa Chelsea watakapovaana na Arsenal katika mchezo wa ngao ya jamii. Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Wembley,London. Ligi kuu ya Uingereza inatarajia kuanza Agosti 8 kwa michezo sita ambapo Manchester United vs Tottenham katika uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford wakatiBournemouth vs Aston Villa, Norwich city vs Crystal palace ,Everton vs Watford naChelsea vs Swansea...

LOWASSA Aahidi Kuishinda CCM Uchaguzi Mkuu 2015

LOWASSA Aahidi Kuishinda CCM Uchaguzi Mkuu 2015
Waziri mkuu wa Zamani Edward  Lowassa  amewaahidi wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema pamoja na wale wa umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25 mwaka 2015. Lowassa alisema hayo jana mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Demkorasia na Maendeleo ambayo itampa ridhaa ya kugombea urais kupitia umoja wa Katiba ya wananchi ukawa unaundwa na vyama vinne vya siasa nchini Tanzania ambavyo ni Chadema, NCCR-Mageuzi, Cuf na NLD. Aidha, Lowassa aliyekabidhiwa fomu na Mwenyekiti...

Lembeli ashinda kura za maoni Chadema, Bulaya almanusura.......Viti maalumu vyamuokoa

Lembeli ashinda kura za maoni Chadema, Bulaya almanusura.......Viti maalumu vyamuokoa
Wabunge wawili waliohama CCM hivi karibuni, James Lembeli na Ester Bulaya wamepitishwa katika kura za maoni kuwania ubunge kupitia chama chao kipya. Wakati Lembeli akipitishwa kwa kura za kishindo kuwania ubunge katika Jimbo la Kahama Mjini, Bulaya alishinda katika nafasi ya viti maalumu baada ya kushindwa katika kinyang’anyiro cha Jimbo la Bunda Mjini. Wanasiasa hao sasa wanasubiri uteuzi wa Kamati Kuu ya Chadema utakaofanyika Agosti 5 na 6. Ushindi wa Lembeli Katika uchaguzi huo wa juzi, mbunge huyo wa zamani wa Kahama aliwabwaga wenzake 13 aliogombea nao akipata kura 168 kati...
CUF Wakanusha Kujitoa UKAWA.......Wasema UKAWA Haina mgombea Urais Mpaka Sasa. Wawashangaa CHADEMA Kutaka kumtangaza Dr. Slaa Chama cha wananchi CUF kimekanusha madai ya kujiondoa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA na kusisitiza kuwa chama hicho hakitajiondoa, na kwamba mgombea wa urais kupitia UKAWA bado hajapatikana.   Chama cha Wananchi (CUF), kimesema hakikushiriki kikao cha juzi cha UKAWA kutokana na sababu za kikatiba za ndani za chama hicho kwa sababu wao kama chama bado wanajadiliana ili kuafikiana kwa maslahi mapana ya taifa kama vyama...

Wakenya kumpokea Obama wakiwa uchi ?

Wakenya kumpokea Obama wakiwa uchi ?
Kundi la Wakenya, limejiapiza kumkaribisha rais wa Marekani, Barack Obama, nchini kwao wakiwa hawajavaa nguo ili kuonesha kuwa hawajakubaliana na kitendo cha kuruhusu mapenzi ya jinsia moja.   Obama anatarajiwa kutembelea Kenya kwa mara ya kwanza tangu kuwa rais na kutegemea kuwa na mkutano na wafanyabiashara kuanzia Julai 24-26 mwaka huu.   Kwa mujibu wa barua iliyosambazwa na kundi hilo la wakenya, imedai kuwa watafanya maandamano ya amani jijini Nairobi, Julai 22 na 23 mwaka huu kuanzia Uhuru kona.   Wamedai kuwa maandamano hayo yatafanywa na wanawake...
Matokeo kidato cha sita 2015 yatangazwa....Bofya Hapa Kuyaona Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2015 yametangazwa leo. Kuyaona matokeo hayo angalia hapo  chini….   <<BOFYA HAPA>> ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog