Home » » Askari kanaswa anapokea rushwa Tanga, imefika kwa bosi wake.. kimefuatia hiki..

Askari kanaswa anapokea rushwa Tanga, imefika kwa bosi wake.. kimefuatia hiki..

Novemba 9, 2015 kulikuwa na headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusiana na video ikionesha Askari wa usalama wa barabarani anayefahamika kwa jina la Anthony Temu kutoka kituo cha polisi kinachojulikana kama Kabutu huko Tanga akijihusisha katika tendo la rushwa.
Sasa taarifa iliyonifikia ni kwamba askari huyo aliyeonekana katika mitandao jana akipokea rushwa Kabuku, Tanga amefukuzwa kazi na kukabidhiwa kwa TAKUKURU kwa mashitaka ya Rushwa.
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza kamanda wa polisi mkoani Tanga, Zuberi Mwombeji akizungumza kuhusiana na askari huyo kukamata na kukabidhiwa kwa TAKUKURU.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog