![]() |
RAIS WA CHUO CHA MKWAWA BWANA BAKARI IBRAHIMU . |
Serikali
imetakiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo kwa wakati ili kuwawezesha
wanafunzi hao kumudu mahitaji yao ya
msingi pindi wawapo vyuoni.
Hayo
yamesemwa na BAKARI IBRAHIMU ambaye ni mwanafunzi wa chuo chuo kikuu cha Mkwawa kilichopo manispaa ya Iringa
lakini pia ni Rais wa chuo hicho alipokuwa akizungumza na Nuru fm ambapo
amesema kuwa wanafunzi wengi wa chuo wanatoka katika familia zenye maisha duni.
Aidha BAKARI
ameongeza kuwa licha ya kuwa wamepokea majina ya mikopo ya wanafunzi wa mwaka
wa kwanza chuoni hapo bado kuna
wanafunzi ambao hawajapata mikopo hiyo.
0 comments:
Post a Comment