MWALIMU MWAKASEGE KUANZA LEO SEMINA YA SIKU NANE MWANZA KATIKA UWANJA WA FURAHISHA.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE. |
Hivyo tunawaomba
watu wote kutoka madhehebu mbalimbali kuja kusikiliza Mungu anasema
nini na maisha yetu katika viwanja vile vya Furahisha. Semina itaanza
saa tisa alasiri mpaka saa kumi na mbili jioni kila siku kuanzia leo
hii. Kwaya na waimbaji wengine maarufu katika uimbaji shambani mwa Bwana
watahudumu.
0 comments:
Post a Comment