MAELFU WAFURIKA UWANJA WA SAMORA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA DVD YA MASANJA
HAPA ANGALIA PICHA MBALIMBALI ZA UZINDUZI HUO
![]() |
Sehemu ya umati wa watu waliofika katika uzinduzi huo uwanja wa Samora mkoani Iringa. |
![]() |
Martha Mwaipaja akimsifu Mungu. |
![]() |
Martha Baraka akimsifu Mungu. |
![]() |
Martha Baraka akiyarudi kwa Yesu na kundi lake. |
IKAFIKA ZAMU YA MASANJA NA KUNDI LAKE WAKAINGIA KWA MWENDO WA JESHI




![]() |
Baadhi ya watu waliohudhuria uzinduzi. |
![]() |
Masanja akisoma risala kwa mgeni rasmi, komedi kama kazi huku pacha wake Silas Mbise nyuma yake akimsikiliza na kumwaga tabasamu la mbali. |
![]() |
Taratibu za uzinduzi zikiwa zinafanyika. |
Naibu waziri wa Elimu mh. Milugo akizindua DVD na VCD ya ''Hakuna Jipya'' |
![]() |
Mgeni rasmi mh. Mulugo akizungumza mara baada ya kuzindua huku wabunge wa viti maalumu na viongozi wengine akiwemo mkuu wa mkoa wa Iringa wakimsikiliza. |
![]() |
JB akimsapoti Masanja kwa kununua DVD kwenye tamasha hilo. |
![]() |
Steve Nyerere akiendelea na utambulisho kwa waigizaji wenzake wa bongo movie. |
![]() |
Vincent Kigosi a.k.a Ray akiwasalimia watu waliofika katika uzinduzi huo. |
![]() |
Timu nzima ya Bongo Movie wakiwa bado jukwaani, Steve Nyerere akizungumza. |
![]() |
Baadhi ya watu waliohudhuria uzinduzi huo wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri jukwaani. |
0 comments:
Post a Comment