MATUKIO MBALIMBALI YALIYO JILI KWA UPANDE WA WAIMBAJI WALIO HUDHURIA KATIKA UKUMBI WA IDYDC
OMBENI KYANDO WAKATI AKIIMBA |
NYAMAZA USILIE TENA JAPO KUNA MAGUMU UNAYOYA PITIA WEWE NDIVYO ALIVYO KUWA AKIIMBA MWALISU |
UMATI WA WATU WALIOFURIKA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU WAKATI WA IBADA HIYO |
GODSAVE SAKAFU KUTOKA DODOMA NAYE PIA HAKUWANYUMA KWENYE BURUDANI |
MAMBO YA KWAITO HAYO |
OVERCOMERS PROGRAM MENAGER HAKUVUMILIA AKAAMUA ASIMAME NAYE KUCHEZA |
KING DAVID WAKATI AKIIMBA WIMBO WA MVUA YA ROHO MTTAKATIFU |
DENIS NYALI MTANGAZAJI NA MWANDAAJI WA MATAMASHA AKISISITIZA JAMBO WAKATI WA IBADA HIYO LAKINI PIA NDIYE MMILIKI WA MTANDAO HUU |
Bishop boaz sollo akifundisha watu juu ya kupokea kwa imani hapo jana katika ukumbi wa idydc |
Huyu ni mama ambaye jina lake halikufahamika akitoa ushuhuda wa kufunguliwa baada ya maombi kutoka kwa mtumishi wa mungu boaz |
0 comments:
Post a Comment