KWAYA YA AIC UNJILISTI PASIANSI MWANZA WAZINDUA ALBAMU YAO YA TUHURUMIE KWA KISHINDO.
Kwaya Aic Vijana kutoka Pasiansi. |
Umati mkubwa wa watu waliohudhuria katika uzinduzi huo. |
Aic Vijana Kwaya Bwiru. |
Mgeni rasmi bwana Eng. Robert Lupoja pamoja na mkewe Mrs Lupoja na Mr. Benjamin Kijika wakiangalia jinsi waimbaji wanavyomtukuza Mungu kwa uimbaji wao mzuri. |
Kwaya ya Aic Maswa kutoka Mandu Igoma Mwanza. |
Aic Mwananchi kwaya. |
Aic Uinjilisti Pasiansi Kwaya wakiimba wakti wakizindua albam yao ya Tuhurumie. |
Haya ndo makeke yao utayapenda mwenyewe. |
Radio Presenter wa Kwaneema Fm Maria Philbert naye alikuwa shuhuda wa kile kizuri ambacho kilitendeka jana kwenye uzinduzi. |
Hapa wakiimba wimbo wa albam Tuhurumie. |
Halaiki ya watu wakiangalia yale mazuri uwanjani hapo jana. |
Mwali akizinduliwa mbele ya kadamnasi. |
Eagt Uinjilisti Kwaya nao wakipata flsh huku wakiwa wamekaa wakiwatch shughuli nzima. |
Msamaria KKKT Kwaya kutoka Pasiansi. |
Aic Kiloleli wana wa tikisa wakiwa jukwaani. |
Mwonekano wa nyuma wa cover. |
Mwonekano wa mbele. |
0 comments:
Post a Comment