Home »
» JUMAPILI NJEMA WAPENDWA WOTE WA GOSPEL ZA IRINGA
Habari za jumapili mdau wetu wa Gospel Kitaa, hii leo katika chaguo la GK kwako tumekuchagulia wimbo uitwao ''JERUSALEMU'' kutoka kwaya ya wasabato Kurasini SDA Choir
ambao wanapatikana nyuma ya viwanja vya maonyesho vya mwalimu JK
Nyerere zamani Sabasaba. Kwaya hii ni kati ya kwaya ambazo zinafanya
vizuri sana katika uimbaji. Kwasasa ina matoleo ya audio zaidi ya 35
chini ya mwalimu wao Samson Kibaso, utapata kuwafahamu kwa mengi kupitia hapa GK ila kwa leo pata Jerusalemu.
0 comments:
Post a Comment