Usiku wa kuamkia leo jijini London nchini Uingereza kumefanyika
utolewaji wa tuzo za Africa Gospel Music Awards AGMA 2012, ambapo katika
tuzo hizo Tanzania ilikuwa inawakilishwa na mwanamama Christina Shusho
katika vipengele viwili ambavyo hata hivyo kura hazikutosha za kumfanya
aondoke na tuzo hizo.
Ambapo waimbaji kama Emmy Kosgei wa Kenya, Solly Mahlangu wa Afrika ya
kusini, Rebecca, Sonnie Badu, Jabu Hlongwane, Joyous Celebration, Pastor
Patrick Duncan na waimbaji wengineo waliweza kuibuka na tuzo usiku wa
kuamkia leo. Kwa habari zaidi pamoja na picha za tukio lilivyokuwa
endelea kutembelea BLOG HII
Home »
» MWAKILISHI PEKEE WA TANZANIA KWENYE TUZO ZA AGMA AFRICAN MUSIC AWARD KURA HAZIJATOSHERESHA KUMWEZESHA KUSHINDA
MWAKILISHI PEKEE WA TANZANIA KWENYE TUZO ZA AGMA AFRICAN MUSIC AWARD KURA HAZIJATOSHERESHA KUMWEZESHA KUSHINDA
Posted by Unknown
Posted on 6:51 AM
with No comments
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula
0 comments:
Post a Comment