Matha mwaipaja ambaye kwa sasa ni mama mchungaji baada ya kuolewa hivi karibuni na mchungaji john said pichani wakati akiimba moja kati ya nyimbo zake
hivi sasa amekuja na albamu mpya ijulikanayo ombi langu kwa mungu inayosambaswa na umoja audial nchi nzima sasa waweza kuipata kuanzia sasa
Home »
» MATHA MWAIPAJA SASA AJA NA OMBI LANGU KWA MUNGU NI KATIKA UJIO WA ALBAM YAPILI
MATHA MWAIPAJA SASA AJA NA OMBI LANGU KWA MUNGU NI KATIKA UJIO WA ALBAM YAPILI
Posted by Unknown
Posted on 7:27 PM
with No comments
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula
0 comments:
Post a Comment