|
mwalimu isaka fungo kutoka kanisa la corner stone church TAG |
|
kundi la kusifu na kuabudu wakienderea na ibada ya kusifu |
|
mama mchungaji wa kanisa hilo mama msea kushoto akiwa na baadhi ya waumini |
|
mchungaji philip msea kushoto akiwa pamoja na mhubiri wa mkutano huo |
|
baadhi ya waumini walio hudhuria katika mkutano huo wakiwa makini kusikiliza neno la mungu |
|
Mwinjilisti stanley Nganyangwa akiomba katika mkutano huo |
hii leo ikiwa ni siku yatatu tangu kuanza mkutatano wa injili katika mtaa wa kitainzini manispaa ya Iringa mamia ya watu wameenderea kujitokeza katika mkutano huo ambao umeandaliwa na kanisa la TAG manispaaya linalo ongozwa na mchungaji Philip msea ambapo mhubiri katika mkutano huo ni mwinjilisti Stanley nganyangwa kutoka chuo kikuu cha ruaha mjini IRINGA
0 comments:
Post a Comment