emmy kosgei katika pozi |
mwanadada Emmy Kosgei kutoka nchini Kenya ambaye usiku wa kuamkia hii
leo wimbo wake wa Ololo alioimba kwa lugha ya kabila lake, umempatia
tuzo ya wimbo bora wa mwaka kwa Afrika kupitia tuzo za Africa Gospel
Music Awards 2012
0 comments:
Post a Comment