Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama,Bungeni mjini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akiapa Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini Dodoma

0 comments:
Post a Comment