Baadhi ya dereva bodaboda wa manispaa ya iringa

na fredy mgunda
Baadhi ya dereva bodaboda wa manispaa ya iringa wameewalalamikia baadhi ya polisi ambao wanatumia pikipiki alimaarufu kama tigo kwa kitendo cha kufukizia bodaboda jambo ambalo huwenda ikiwa ni chanzo cha kusababisha ajari bararani.
wakizungumza na nuru fm katika vituo tofauti tofauti madereva hao wamesema ni vyema polisi waka kaa katika maeneo ya maarumu ya kazi tofauti na wanavyo fanya.
Aidha wamelalamikia vitendo vya kunyanyaswa na kudharirishwa na baadhi ya polisi hao ikiwa ni pamoja na kupigwa pasipo kuwa na sababu maarumu.
Akijibia malalamiko hayo LEOPARD FUNGU kamanda wa kikosi cha usala barabarani RTO mkoa wa iringa amesema kazi za askari ni kuhakikisha analinda hali ya amani na usalama na kuongeza kuwa swala la pikipiki imekua ni ajira kubwa kwa vina lakini pia imekuwa ni janga kubwa kwa baadh madereva hao kutokana na kuto fuata sheria .

0 comments:
Post a Comment