Mwanamke
mmoja mkazi wa mkoa wa Tabora wilaya ya Tabora mjini kata ya Chemchem
amewaua watoto wake wawili na kuwazika ndani ya nyumba yake.
Mwanamke huyo amedai kuwa kilichomfanya awalishe sumu watoto wake ni ugumu wa maisha uliokuwa ukimkabili baada ya kikimbiwa na mumewe.
Kwa mujibu wa jirani yake, siku ya tukio mwanamke huyo alisikika akichimba shimbo ndani ya nyumba yake kabla ya kutangaza kupotelewa na watoto wake siku ya pili yake.
Taarifa ya kupotea kwa watoto hao ilimpa mashaka jirani huyo na kumlazimu akatoe taarifa polisi ambapo maafande walikuja na kufanya msako ndani ya nyumba hiyo ambapo walifanikiwa kufukua maiti za watoto hao.

0 comments:
Post a Comment