MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKIJARIBU KUWAKIMBIA POLISI DARAJANI ZANZIBAR.
Majambazi wamekamatwa Darajani Zanzibar jana baada ya kufyatuliana
risasi na polisi wakati wakijaribu kukimbia. Katika tukio hilo wananchi
kadhaa waliruhiwa kwa kugongwa na gari katika harakati za majambazi hayo
kukimbia. Polisi imewatia mbaroni majambazi watatu baada ya wananchi
kutoa ushirikiano.
0 comments:
Post a Comment