Hii ni habari njema tena kwa wakazi wajiji la daresalam na vitongoji vyake december 13 itakuwa ni siku ya kukumbukwa kutoka kwa mwimbaji wa kike TUMAINI NJORE Ambapo ataachia albamu yake mpya ya inayokwenda kwa jina la MUNGU MUWEZA.
Akizungumza na mtandao wa www.denisnyali.blogspot.com mwanamziki huyo amesema siku hiyo pia itatumika katika kumshukuru Mungu kwa miaka 12 ambayo amekuwa naye
hata hivyo mwimbaji huyo ambaye pia ni mwanachama cha mziki wa injili Tanzania mungu amekuwa akimtumia kwa viwango vya hali ya juu kupitia nyimbo zake zenye mguso wa kufungua maisha ya watu waliofungwa na nguvu za giza kufunguliwa huku akihudumu katika maeneo tofauti tofauti ya ndani na nje ya tanzania,anasema uzinduzi huo utafanyika katika kanisa la victoriachurch tabata bima kiingilio ni bure kabisa watu wote mnakaribishwa.
0 comments:
Post a Comment