Najua bado kuna headlines kuhusu ishu ya
makontena 349 kupotea bandarini Dar es Salaam na mpaka leo Jeshi la
Polisi limethibitisha kuwashikilia watu 12 kutokana na tuhuma hizo.
Kituo cha ITV wameripoti habari dakika chache zilizopita kuhusu kukamatwa kwa makontena tisa eneo la Mbezi Tanki Bovu Dar es Salaam… Jeshi la Polisi wameshirikiana na Mamlaka ya Mapato TRA kufanikisha kukamatwa makontena hayo, yanahusiana na yaliyopotea bandarini Dar?
0 comments:
Post a Comment