Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na duka la dawa kwa wagonjwa wanaotumia huduma ya bima ya afya katika Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara. Kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt. Shaibu Maarifa.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla akisikiliza maelezo kutoka kwa Daktari wa zamu
kitengo cha dharura hospitalini hapo,Dkt. Ester Tumwanga (kulia) wakati
wa ziara ya kushtukiza aliyofanya leo mkoani humo. Kushoto ni Mganga
Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt. Shaibu Maarifa.
Muuguzi
Kiongozi wa wodi ya wazazi katika Hospitali ya Ligula ya mkoa wa
Mtwara, Getrude Mangosongo (wa kwanza kulia) akifafanua jambo kwa Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Kigwangalla (wa pili kushoto) alipotembelea wodi ya akinamama wakati wa
ziara ya kushtukiza aliyofanya leo mkoani humo. Kushoto ni Daktari wa
zamu kitengo cha dharura hospitalini hapo,Dkt. Ester Tumwanga na wa pili
kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt.
Shaibu Maarifa.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kulia) akiwasili katika jengo jipya la Hospitali ya
Kanda ya Kusini mkoani Mtwara ambalo linaendelea kujengwa na litahudumia
mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma pamoja na nchi za jirani ikiwemo
Msumbuji.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kulia) akitembelea maeneo ya jengo jipya la
Hospitali ya Kanda ya Kusini mkoani Mtwara ambalo linaendelea kujengwa
na litahudumia mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma pamoja na nchi za jirani
ikiwemo Msumbuji.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (katikati) akiwa ndani ya jengo jipya la Hospitali ya
Kanda ya Kusini mkoani Mtwara ambalo linaendelea kujengwa na
litahudumia mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma pamoja na nchi za jirani
ikiwemo Msumbuji.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kushoto) akitoa maelekezo baada ya kutembelea jengo
jipya la Hospitali ya Kanda ya Kusini mkoani Mtwara ambalo linaendelea
kujengwa na litahudumia mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma pamoja na nchi
za jirani ikiwemo Msumbuji.
0 comments:
Post a Comment