Watu wawili
wamefariki dunia mkoani iringa katika tukio la ajali lililotokea katika
kitongoji cha mlowa kata na tarafa ya mahenge wilaya ya kilolo mkoani iringa.
Akithibitisha
kutokea kwa ajali hiyo kamanda wa polisi mkoani iringa ramadhani athumani mungi
amesema ajali hiyo imesababishwa na gari la mwanainchi communication kutaka kulipita roli ambapo watu wawili wamefariki
papo hapo.
Aidha kamanda
mungi amesema katika ajali hiyo pia kuna watu sita ambao wamejeruhiwa na
wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa iringa kwa ajili ya matibabu.
0 comments:
Post a Comment