askofu mkane akisisitiza moja ya mambo ya msingi ya kanisa. |
Akizungumza na mtandao huu wa www.denisnyali.blogspot.com amesema watanzania kwa muda mrefu walikuwa hawajapata kiongozi mwenye kasi ya kufanya kazi kama magufuri hivyo uwepo wake katika nafasi hiyo anaamini kuwa mambo yatakwenda vizuri katika nchi hiii.
askofu mkane akiwa na mkewe |
Itakumbukwa kuwa dk magufuri tangu aapishwe amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii pamoja na magazeti mbalimbali ya kimataifa huku baadhi ya wanasiasa na wachambuzi wakimfananisha na aliyekuwa waziri mkuu wa zamani EDWARD MORINGE SOKOINE.
Askofu mkane akiwa na askofu mkuu wa tanzania dr barnabasi mtokambali. |
0 comments:
Post a Comment