Ukiwa ni utaratibu kwa makanisa ya tag kuwa kila jumapili ya mwanzo wa mwezi wa kumi na mbili huwa ni siku ya kutoa sadaka maalumu kwa wachungaji kanisa la tag mlandege lililopo manispaa ya iringa wametoa sadaka maalumu kwa ajili ya mchungaji wa kanisa hilo.
familia ya askofu mkane wakiwa wamepiga magoti kwa ajili ya maombi maalumu kutoka kwa viongozi wa kanisa pamoja na waumini. |
mzee wa kanisa eriki mtandi akiongoza maombi hayo. |
sehemu ya umati wa waumini wa kanisa la T.a.g mlandege wakimwombea mchungaji wao |
askofu mkane akiwashukuru waumini kwa sadaka maalumu waliyotoa na maombi maalumu kwa ajili yake. |
0 comments:
Post a Comment